Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Pamoja mkuuKabisaaa niliona kama hujamtendea haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuuKabisaaa niliona kama hujamtendea haki
una maoni gani kwa sasa?Cape Verde ikipuuza sana itatoa Draw ila ikitaka hata itufunge 3 tena sisi hatuwezi kukataa.
una maoni gani kwa sasa?
What??????Kweli kabisa uwezo wa sisi kumfunga Cape verde haupo. Labda tutowe nao sare na ikitokea kamuujiza basi tutawafunga kamoja tena ka kibahati.
Labda mungu wao na sio Mungu wa tzMungu ibariki cape Verde.
Timu IPI mbovu?Hahahahaaaaa. Na kweli Mkuu.
Huwezi sema uzalendo wakati Timu yenyewe mbovu. Ila mie sina timu kesho.
Watajiteka wenyeweLeo kuna jamaa watajificha uchochoroni.
Hivi kweli mlitegemea Tanzania itafugwa tena na Cape Verde? Mtumie akili acheni mihemko.
Go Tanzania.
Ulinukuu vibaya.Wewe mbao za mawe tulibishana mchana ukisema tanzania ata fungwa tena
Ulinukuu vibaya.
Akikujibu naomba unitaguna maoni gani kwa sasa?
Duuh!Watajiteka wenyewe
Na si bure, wewe ni nyumbu, shame on uHili goli moja sijui limetokea wapi! Mungu wasaidie Cape Verde
Mamako nyumbu jike mimi nyumbu dumeNa si bure, wewe ni nyumbu, shame on u
Mshabiki wa arsenal huyuMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*