Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Aiseee!
 
Tatizo ndio hili kuishi kwa mazoea mleta uzi usiwe mjinga hivi ujaona matajili walioshia dalasa la 7 wamewajili waliomaliza phd
 
SIKU NYENGINE KUBAL CHA KWAKO KWANZA ...HATIMAYE TUMESHINDA SASA SIJUI UTAWEKA WAP SURA YAKO
 
Mkuu,nimetengua kauli.Hakika vijana leo wametutoa kimasomaso.Mwalimu amejaribu kuwaingiza wachezaji wanaoweza kupambana na si wachezaji ilimradi.Kelvin Yondan'Koton',Kiungo kiraka Erasto Edward Nyoni nadhani nawe umeona utofauti.Mechi ile ya away kila mwenye kujua soka alikata Tamaa kutokana na mpir wa hovyo kabisa tuliocheza.Itoshe kwa hayo
 
Nakupongeza kwa kutengua kauli
 
Itaturahisishia kazi.
Tunacheza na Resotho Away, alafu tunamaliza na Uganda hapa nyumbani. Pia tumwombee Uganda ashinde mechi ya Leo, na pia ashinde mechi ijayo na Cape Verde. Hii it a turacos is is his kazi.
 
Nimempenda Yule kijana Faisal 'Fei toto' anaujua mpira kweli kweli
 
1 win and 1 draw, tutakuwa tumenaliza kazi
1 draw with Uganda and 1 win with Lesotho. Or 1 win with Uganda and 1 win with Lesotho. Cameroon njia nyeupe. Dreamliner iandaliwe tu ya kuipeleka team pamoja na mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…