Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Huna akili
 
Yah! Haya ndio maneno Mkuu.

Nitakutag Mkuu tuombe uzima tu. kacnia. πŸ˜‚πŸ˜‚
hahahha, mkuu wala sio mbali tuu hapa utakuja pm kuniomba nikutafutie chumba cha kupanga huku tz maana cape verde, uganda na Lesotho maisha yatakuwa magumu sana,

japo cape verde umeshashuhudia hali tete kabisaπŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaaa. Sidhani kwa kweli maana nionavyo sijui kama haitakuwa kinyume chake Mkuu.

Hahahaaaa. Ile timu nzuri bana. Uliona walivyokosa kosa bao za wazi nyingi maana halikuwa moja.
 
Hizi kelele mngezipiga kabla ya saa 11 angalau ningejitahidi kuwaelewa.
habari mkuu,
huko cape verde hali ya amani ikoje?
Hahahahaaa. Lol.

Iko kama ilivyokuwa Tanzania baada ya mechi ya kwanza. Teh teh
hahaha nashukuru kwa taarifa,
karibu tena Tanzania panapo majaliwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu na matawi yenu majuuu...
 
Hahahaaaa. Sidhani kwa kweli maana nionavyo sijui kama haitakuwa kinyume chake Mkuu.

Hahahaaaa. Ile timu nzuri bana. Uliona walivyokosa kosa bao za wazi nyingi maana halikuwa moja.
"kila penye uzito wepesi upo" Hajar
mpira ni dakika 90 tusubiri siku ifike,
"dont remember to forget" kacnia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…