Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂😂 Pole sana Mkuu.Timu IPI mbovu?
Haya kunywa maji hasira zikupungue halafu ndio uje nikujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Pole sana Mkuu.Timu IPI mbovu?
habari mkuu,Hizi kelele mngezipiga kabla ya saa 11 angalau ningejitahidi kuwaelewa.
Hahahahaaa. Lol.habari mkuu,
huko cape verde hali ya amani ikoje?
hahaha nashukuru kwa taarifa,Hahahahaaa. Lol.
Iko kama ilivyokuwa Tanzania baada ya mechi ya kwanza. Teh teh
Huna akiliMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Hahahaaaa. Sitakagi presha za kujitakia Mkuu.hahaha nashukuru kwa taarifa,
karibu tena Tanzania panapo majaliwa.
tunaimaani na timu yetu (in ukawa's voice)Hahahaaaa. Sitakagi presha za kujitakia Mkuu.
Mnaojiweza pambaneni na timu yenu. Mie bado sana aiseeee.
Aah. Wapi. Umepata cha kuongea sababu timu imeshinda.tunaimaani na timu yetu (in ukawa's voice)
hahahha, mkuu wala sio mbali tuu hapa utakuja pm kuniomba nikutafutie chumba cha kupanga huku tz maana cape verde, uganda na Lesotho maisha yatakuwa magumu sana,
Hahahaaaa. Sidhani kwa kweli maana nionavyo sijui kama haitakuwa kinyume chake Mkuu.hahahha, mkuu wala sio mbali tuu hapa utakuja pm kuniomba nikutafutie chumba cha kupanga huku tz maana cape verde, uganda na Lesotho maisha yatakuwa magumu sana,
japo cape verde umeshashuhudia hali tete kabisa😀😀
Hizi kelele mngezipiga kabla ya saa 11 angalau ningejitahidi kuwaelewa.
habari mkuu,
huko cape verde hali ya amani ikoje?
Hahahahaaa. Lol.
Iko kama ilivyokuwa Tanzania baada ya mechi ya kwanza. Teh teh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahaha nashukuru kwa taarifa,
karibu tena Tanzania panapo majaliwa.
Hahahaaaa. Acha tu mdogo wangu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu na matawi yenu mjuuu...
Hizi comment zako unaonekna wew ni hater[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi kelele mngezipiga kabla ya saa 11 angalau ningejitahidi kuwaelewa.
hahahahhahhahahahahha hakuna namna.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu na matawi yenu mjuuu...
Hahahaaa. Umefanya nione aibu hapa nilipo aiseeee.Hizi comment zako unaonekna wew ni hater[emoji23] [emoji23] [emoji23]