isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Sasa inapoelekea ikitokea vita basi itahusisha Misri, Ethiopia, Jamhuri ya Sudan, Sudan Kusini, Uganda na Tanzania + (Rwanda na Burundi).Tatizo wanao takiwa kuidhibiti Misri ndio hao hao walio saini mkataba huo unao ipa haki Misri kuidhibiti huu mto ,nikimaanisha ni nchi za magharibi zenye uwezo wa kuidhibiti Misri.
Hakuna nchi ya kiafrika yenye ubavu wa kuidhibiti Misiri.
Tanzania yenye mchango mkubwa wa mto huo haitakiwi kukubali mkataba wa 1919's huko, Tanzania imepata uhuru 1961 na haikuingia mkataba huo, hata Ethiopia itumie hiki kigezo.
Unless, kila mtu atumie rasilimali zake katika mipaka yake, na hapo Ethiopia anamiliki Ziwa Tana na Blue Nile katika eneo lake.