Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

Kumbe royal tour imeishafika marekani!! Idiot 🚮🚮🚮
 
Shida kubwa pia Watanzani Kiingereza ni Shida, Uwe unawafafanulia hadi mwisho
 
Big five : Tembo, Faru, Twiga, Simba na Chui.
big 5
nyati:waliwindwa kwa ajili ya nyama.
tembo:aliwindwa kwa ajili ya meno.
simba:kwa ajili ya ngozi kama urembo.
chui:kwa ajili ya ngozi kama rembo.
kifaru😛embe kwa ajili kutengenezea madawa maalumu.

hao ndio big 5.
ni kwa sababu waliwindwa sana na sio sababu ni wakubwa.
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Hao watalii hata wakimiminika kwa wingi nchini kama hakutakuwa na matumiz bora ya pato la taifa, hiyo ni kazi bure.

Kama hakutokuwa na uboreshwaji wa maisha ya wananchi hususan masikin choka mbaya na ajira kwa vijana, hapo hakuna umuhimu wa hao watalii wala umuhimu wa top5.

Kama kila siku maisha yanapanda, bidhaa zinapanda, pembejeo za kilimo zinapanda, huduma za kijamii znapanda gharama wakati uo pato la mwanchi likiwa bado chini na linaendelea kunyonywa kupitia makodi yakijizi na kifisadi, basi itoshe tu kusema huyo bibi kizee wenu hakuna analofanya zaid ya kubomoa nchi, maana uchumi wa kweli unaanzia ndani ya nchi kwa pato la mtu mmoja mmjoa, na ndipo yanafuata hayo makolokolo ya kutegemea mapato ya wageni.

Mnaosifia sana mtakuwa hamuyajui maisha ya wananchi huku mitaani

Useless kabisa
 
Kazi nzuri sana
 
Tanzania tuko katika uelekeo sahihi sana tuendelee kumwombea rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan,

Tunakila sababu ya kujivuna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…