Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

===
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,

TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho mbalimbali wameihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama na inavutia zaidi Africa kwa Kutalii hasa wakati wa baridi,

TheGrio wamekanusha tishio la Usalama kwa watalii na kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni Salama zaidi kwa Utalii Barani Africa ikiwa ni pamoja na Morocco, Nigeria, Africa Kusini na Misri,Heko Rais Samia Suluhu kwa "Royal Tour "

TheGrio wameendelea kuwashawishi Wamarekani na nchi mbalimbali kuwa wafikapo Tanzania watakutana na Serengeti na wataona "The Big five " yaani tembo,twiga,Faru,Nyumbu,Simba na Duma,Hakika jina la Tanzania nje linang'aa Sana tuendelee kuchapa kazi,

>>endelea kujisomea hapo chini <<
awesomefully,

Niliwaambia huyu Mama atafanya maajabu makubwa sana Tanzania baadhi yenu hamkunielewa, Nadhani kwa sasa mmeanza kuelewa taratibu, Hongera Sana Mama Samia,
 
Tanzania named among top 5 tourist destinations in Africa​

Tourism pic

Game drives are popular activities in Serengeti National Park.

Summary

  • Tanzania was also picked for its wildlife splendor, notably the expansive and award-winning Serengeti National Park.

Tanzania has been named by the US digital TV channel as being among the five top tourist destinations in Africa.

The spectacular Serengeti National Park, beaches in Zanzibar and cultural tourism are cited as the main attractions.

“Tanzania boasts the most beautiful, world-class beaches you may ever see,” said TheGrio, the digital channel.

It added that Tanzania was safe for international tourists despite the oft-published negative travel advisories in the West.

“The country is safe. So it’s a top destination, indeed,” the digital TV said in its recent upload on its website.

The message was especially addressed to Americans intending to travel abroad this season to avoid the chilly winter at home.
Other countries named are Morocco, specifically its Marrakech city in the Atlas mountains, Nigeria, South Africa (Cape Town) and Egypt.

Tanzania was also picked for its wildlife splendor, notably the expansive and award-winning Serengeti National Park.

“At Serengeti, you can witness all the Big Five - the black rhino, buffalo, lion, leopard and elephant - within the park,” TheGrio dispatch says.

The 14,763 square kilometre protected area has one of the largest concentrations of wild animals in the world.

These include the 1.5 million wildebeests, 250,000 zebras and the largest lion population in Africa.

The park has won many world awards over the years, the latest being the World Travel Award (WTA) it won in October last year.

The global initiative named the famous protected area as Africa’s leading national park for a third year in a row.

The TV channel also cited cultural tourism as among the factors which make Tanzania to excel in travel and tourism.

“You can visit the Maasai villages and get a chance to learn some skills from the locals - and also give back to the communities,” the dispatch says.

Prior to the outbreak of Covid-19 and detection of the first case in the country in early 2020, the US was the leading source of tourists to Tanzania.

Tourist arrivals hit a record high of 1.5 million in 2019, generating about $2.6 billion in revenues. However, the figures fell to 620,867 visitors in 2020 generating $1.7 billion.

The TV channel also spoke on the rich historical and archeological insights which have placed Tanzania top as the Cradle of Mankind.

“Tanzania is the soul of Africa, where many anthropologists relocate,” it said. The leading human origin sites in Tanzania include the Olduvai Gorge and Laetoli.

GrioTV - which was launched in June 2009 as a division of NBC News - says Africa’s cultural attractions have equally played a part in keeping the continent’s tourism on the radar.

“From the land of lush resources to the actual birthplace of humanity, Africa is the heralded queen of continents,” it pointed out.

TheGrio is an American TV channel and website with news, opinion, entertainment and video content geared toward African-Americans.
Kaziindelee Tanzania
 
Viva Tanzania
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
===
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,

TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho mbalimbali wameihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama na inavutia zaidi Africa kwa Kutalii hasa wakati wa baridi,

TheGrio wamekanusha tishio la Usalama kwa watalii na kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni Salama zaidi kwa Utalii Barani Africa ikiwa ni pamoja na Morocco, Nigeria, Africa Kusini na Misri,Heko Rais Samia Suluhu kwa "Royal Tour "

TheGrio wameendelea kuwashawishi Wamarekani na nchi mbalimbali kuwa wafikapo Tanzania watakutana na Serengeti na wataona "The Big five " yaani tembo,twiga,Faru,Nyumbu,Simba na Duma,Hakika jina la Tanzania nje linang'aa Sana tuendelee kuchapa kazi,

>>endelea kujisomea hapo chini FONT]
Safii sana

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Aya bwana wasisahau kuwa na ipo kwenye top five nchi maskini
 
Binafsi nimeenda ulaya nikiwa na miaka 14 na nimeishi huko for more than 26 Kwa ivyo siasa ninazozijua ni za U.K.

Mtu yeyote mwenye kupenda siasa awezi kuwa na ushabiki wa kithenge kama huu; politics is social science sio kujaza tumbo.

Siasa za akina J.K na Magufuli zimepitwa na wakati usomi wao na wa kwetu ni tofauti. Uelewa wao wa siasa na wakwetu ni tofauti.

CCM aina watu wakukibadili chama chao kwenda na mtazamo wa leo. Imejaza watu wasio na vision ya kesho. Siasa inataka next visionaries kwenda na mtazamo wa dunia na uelewa wa mambo mbali mbali.

Ni upuuzi kuunga mkono siasa za Samia the woman has to go. Binafsi nilikuwa namsapoti Magufuli for some changes alizokuwa anafanya.

Pamoja na hayo alikuwa na ujinga wake mwingi. Mfano alichofanya kwenye kukata watu kwenye kura za maoni was very undemocratic. Na mambo mengine kadhaa ya kadha
ambayo yalikuwa ya ovyo kweli.

Uzuri wake he had a direction hiyo ndio ilikuwa inampa support ya 70% katika upuuzi wake wa 30%.

Vijana wa leo tusifanye siasa ya njaa; things have to change. Uingii kwenye siasa sababu ya kukimbia njaa kwa namna yoyote ile bali unataka kuipeleka nchi yako mbele.

I know it’s not easy to say that kwa diaspora kwa sababu atuujuhi mziki wa wenzetu na ndio maana inakuwa rahisi vijana kutumika na vigogo.

Hizi siasa lazima zibadilike mtu kama huyu mleta mada mpaka unamuhurumia udhani kama kila anacho post anaamini na anaweza kukitetea; kinachomsukuma kufanya kazi yote hii ni njia.

Vijana CCM inahitaji overhaul zama za hakina JK zimepitwa na wakati; vita yao haituhusu; inabidi tufikirie dunia inavyowaza.

Vijana tunataka nini sio kupigania watu wasio na maarifa na kutegemea fadhila zao; watu ambao hawana mipango ya kesho yetu.

Personal nimetokea kumchukia JK kupita kiasi. Hana uwezo halafu analazamisha fikra zinazo haribu nchi.

Na wala sijali kuondoka kwa speaker Ila naumia kuona ambao awataki kuona vyama vyetu vya siasa vina evolve.

Seriously yaani kuna watu mko tayari watu kama Nape, Ummy ndio majemadari wetu kisa makada CCM; huo ni uthenge wa hali ya juu. Kwa leo tuna watu wenye uwezo zaidi kutuongoza.

Mjomba acha njaa na hizi thread zako za kijinga; issue sio Samia CCM has to evolve.
Dalili za 2025Fever
 
Back
Top Bottom