JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Wasije tu wakatuchanganyia covido na nimricaf wakatuambia ni chanjoRais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni katika juhudi za kupambana na janga hilo.
Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini Ubelgiji.
View attachment 2120325
Usukuma unakusumbua we ndezi tokea mama ashike madaraka imekuchoma sana ndio hivyo mkuki ushakuchoma kama inauma chomoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana mkiitwa nyani na kutupiwa ndizi mnalalama mmebaguliwa![emoji38][emoji38][emoji38] Nchi ambayo hata pamba ya kuoshea vidonda inaagiza nje eti leo inawaza kutengeneza Chanjo ya corona !
Nadhani watazalisha under license ya watengenezaji wakubwa (kama ni kweli). Ila bado ni usanii tu kwani Tanzania hakuna watu wanaotaka chanjo. Kimsingi walishasahau kabisa kama kuna korona. Hii ni siasa ya kujikomba kwa mabeberu na hakuna kitu serious.🤣🤣🤣🤣
This has got to be a joke!
Kwa jinsi maisha yanavyoendelea Tanzania, ukweli ni kwamba COVID 19 siyo tatizo kabisa.Nadhani watazalisha under license ya watengenezaji wakubwa (kama ni kweli). Ila bado ni usanii tu kwani Tanzania hakuna watu wanaotaka chanjo. Kimsingi walishasahau kabisa kama kuna korona. Hii ni siasa ya kujikomba kwa mabeberu na hakuna kitu serious.
I Cement This.....🤣🤣🤣🤣
This has got to be a joke!