Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaAlikosa cha kuongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaAlikosa cha kuongea
Mwafa!!!Hizo chanjo ni kwa ajili ya nani ?
View attachment 2120440
NakaziaUzi uhamishiwe jukwaa la utani/vichekesho alafu tuendelee na majadiliano
Uzi uhamishiwe jukwaa la utani/vichekesho alafu tuendelee na majadiliano
Kama Tunaweza Kutengeneza Chachandu Ya Mbilimbi Ikawa Chachu....Mate Telenchi haiishi vituko
Kiingereza chenyewe cha ku-manufacture vaccines! 😆😆😆Tupeni taarifa ya kiswahili. Vinginevyo, tueleze kama tumepewa kandarasi ya kueneza lugha ya Kiingereza Ulimwenguni. Na sisi kaziI yetu ya kueneza kiswahili tumeiacha ama imetushinda?
Anatuvuruga MapemaZuhura Yunus kaandika yai
Kazi za kupeana tutafanyaje. Kuna nyepese kuwa mama yake na mwandishili ilikuwa akimsaidia bi mkubwa kujibu maswali skonga.Kiingereza chenyewe cha ku-manufacture vaccines! [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumwa yai unapeleka hilo?Zuhura Yunus kaandika yai
Mambo ya kipumbavu.Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine.
Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini Ubelgiji ambapo amemwambia Bw. Michel kuwa Tanzania inalenga kuwa mzalishaji na msambazaji wa chanjo hizo katika nchi za EAC pamoja na SADC.
Akielezea umuhimu wa hatua hiyo, Rais Samia amesema kuna uwezekano wa Tanzania kutumia kiasi cha Shilingi bilioni 216 katika uingizaji wa chanjo ifikapo mwaka 2030.
Hii chai sasa, kwamba doctor akose pen??Hahahaha yani kuna hospital fulani nilikwenda na mgonjwa wangu daktari akaniambia hana peni ya kuandikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hii chanjo sijui itakuwaje....
Hii labda atachoma kwanza yeye na wajukuu wake
Amekaribisha mabeberu wajenge kiwanda cha chanjo bongo. Lakinin mama unajua kabisa kuwa watz walio wengi hawana habari na huo usanii wa chanjo!! Labda hapo ulichosaidia ni watg kupata vibarua kwenye kiwanda hicho.Nadhani watazalisha under license ya watengenezaji wakubwa (kama ni kweli). Ila bado ni usanii tu kwani Tanzania hakuna watu wanaotaka chanjo. Kimsingi walishasahau kabisa kama kuna korona. Hii ni siasa ya kujikomba kwa mabeberu na hakuna kitu serious.
Hivi zile chanjo walizoleta zimeshamalizika?!Amekaribisha mabeberu wajenge kiwanda cha chanjo bongo. Lakinin mama unajua kabisa kuwa watz walio wengi hawana habari na huo usanii wa chanjo!! Labda hapo ulichosaidia ni watg kupata vibarua kwenye kiwanda hicho.
Umeambiwa kwa watanzania tu.Hizo chanjo ni kwa ajili ya nani ?
View attachment 2120440
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This has got to be a joke!