#COVID19 Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

Mzungu kabadirisha masharti watasema tz ndo inazalisha ila ndo hizo hizo za mzungu.

Michanjo yenyewe wanalazimisha watu vijijini.sasa wameona haitoshi wanalazimisha wenye ukimwi kupata hiyo chanjo kwa kazima.

Eti mpaka 2030? Kwani mpaka uko kote covid itakuwepo? ,huyu mama nini kimempata?

Magufuli alikuwa sahihi mzungu ukimnyenyekea kwa kila kitu anakufanya anachotaka.

Mama mwenyewe hatulii nchini yaan kafata nyendo za jk ni full kuzunguka dunia nzima.
 
Uzi uhamishiwe jukwaa la utani/vichekesho alafu tuendelee na majadiliano

Hahahaha yani kuna hospital fulani nilikwenda na mgonjwa wangu daktari akaniambia hana peni ya kuandikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hii chanjo sijui itakuwaje....

Hii labda atachoma kwanza yeye na wajukuu wake
 
Tupeni taarifa ya kiswahili. Vinginevyo, tueleze kama tumepewa kandarasi ya kueneza lugha ya Kiingereza Ulimwenguni. Na sisi kaziI yetu ya kueneza kiswahili tumeiacha ama imetushinda?
Kiingereza chenyewe cha ku-manufacture vaccines! 😆😆😆
 
Kiingereza chenyewe cha ku-manufacture vaccines! [emoji38][emoji38][emoji38]
Kazi za kupeana tutafanyaje. Kuna nyepese kuwa mama yake na mwandishili ilikuwa akimsaidia bi mkubwa kujibu maswali skonga.
 
Mambo ya kipumbavu.
 
Hahahaha yani kuna hospital fulani nilikwenda na mgonjwa wangu daktari akaniambia hana peni ya kuandikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hii chanjo sijui itakuwaje....

Hii labda atachoma kwanza yeye na wajukuu wake
Hii chai sasa, kwamba doctor akose pen??
 
Amekaribisha mabeberu wajenge kiwanda cha chanjo bongo. Lakinin mama unajua kabisa kuwa watz walio wengi hawana habari na huo usanii wa chanjo!! Labda hapo ulichosaidia ni watg kupata vibarua kwenye kiwanda hicho.
 
Hivi zile chanjo walizoleta zimeshamalizika?!
 
Mbona Nchi haina university Teaching hospital hadi karne hii. Hiyo chanjo atawezekana.
 
Ni mwendo wa kula fweza ya wazungu kupitia researches za vitu kama hizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…