Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Ishu sio vibali, vibali si wanajipa tu.
Ishu ni kuzuia uwindaji kwa hoja kuwa wanalinda ikolojia na urithi wa dunia, kisha wao kujipa ruhusa ya kuua kwa ajili ya fedha
Umeambiwa wanauliwa wanyama wazee sasa hutaki unataka wafe tu huko maporini tukose dollars [emoji389]?
 
Naomba tofauti kati ya TAWA na game reserves
TAWA ( Tanzania Wildlife management Authorities) hawa ndo wasimamizi wa hizo game reserves na WMAs. Game reserves inatokana na WMAs ( Wild Management Areas) .
Kwahiyo Hifadhi (National parks ) inapitia hatua za WMAs, game reserves na hatimae hifadhi kamili ambayo husimamiwa na TANNAPA.
 
TAWA ( Tanzania Wildlife management Authorities) hawa ndo wasimamizi wa hizo game reserves na WMAs. Game reserves inatokana na WMAs ( Wild Management Areas) .
Kwahiyo Hifadhi (National parks ) inapitia hatua za WMAs, game reserves na hatimae hifadhi kamili ambayo husimamiwa na TANNAPA.
TANNAPA ni ktu gani mkuu??
 
TUNA WANYAMA WENGI WAMEJAZANA KWENYE MAMBUGA MENGI LAKINI HATUNA UBUNIFU WA KUWEZA KUINGIZA PESA KUTOKA KWA WAZUNGU. MATHALANI TUNGETENGA MBUGA MOJAWAPO BAYO TUNGERUHUSI WANYAMA WAWAZOEE WATU AMBAPO UTALII WA KUWALISHA WANYAMA UNGERUHUSIWA. HUU UNGEVUTIA SANA WAZUNGU NA WANGEKUJA KWA WINGI
 
Huu ni ujinga sasa, unaua simba na wanayama wakali wengine si ndiyo kutawafanya wamasai kurudi tena Ngorongoro maana hakutakuwa na wanayama wa kuua mifugo yao!
 
Ninavyojua maisha yangu yote niliyoishi porini kamwe mnyama haweziwindwa Ngorongoro hata awe anataka kukata roho ndani ya hifadhi hakuna atakufa na wanyama wengine watamla ila sio kuwindwa ndani ya hifadhi. Ila Luna vitalu vya uwindaji Wa kienyeji na kitalii huwa watu wanawinda miaka yote sema ni uwezo wako tu unalipia unaenda kuwinda kwenye maeneo maalum hayo ya uwindaji. Ndio maana kuna Game reserve na National parks na kuna TAWA, TAWIRI NA TANAPA
Hao wawindaji wako chini ya Tawa
Wewe ndiye umeelewa vema kinachojadiliwa, wengine wanapiga kele tu Ili wapige kelele.
 
Acha kupotosha, ulitakiwa useme kwamba TANAPA (Tanzania National Park) wao kazi yao ni kusimamia hifadhi zote za taifa kama MIKUMI, SERENGETI, TARANGIRE, MANYARA, KATAVI, MALAHE nk na kwamba kwenye hifadhi za taifa zote uwindaji hairuhusiwi kisheria. Pia ungesema kwamba ukiacha hifadhi za taifa za wanyama Kuna mapori tengefu (game reserves) kama ilivyokuwa Seoul Game reserve. Pia Kuna hunting blocks (vitalu maalumu vyenye wanyama mbalimbali) ambavyo kisheria uwindaji unaruhusiwa kwa kufuata miongozo, sheria na taratibu na misimu ya uwindaji. Wanaosimamia hivi vitalu na hizi game reserves ni TAWA (Tanzania wildlife authority) wakati TANAPA wao Wanaosimamia National Parks zote. Kumbuka fedha nyingi hupatikana kwa watalii kutembelea National Park, game reserves na pia kwa kufanya uwindaji kwenye vitalu.
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Kuna watu wanadandiaga mada bila kuelewa chochote.
 
Kwahiyo unashauri hawa wanyama wazee tusiwavune tupate pesa tuwaache wajifie. Hii nchi tunachelewa maendeleo kwa sababu ya watu kama nyie ambao hamna akili.
Wewe ndio una upungufu wa akili. Huo muda wa kupima kwamba huyu mnyama ni mzee na huyu ni kijana muwindaji mwarabu anautoa wapi? Eitherway, mnyama hata akiwa mzee bado ni kuvutio cha utalii na ni sehemu ya ekolojia, tutaingiza pesa nyingi zaidi kupitia utalii, mnyama hata akiwa mzee mtalii atalipa pesa kumuona, kwanza hata hawezi kujua ni mzee. Hivi ina maana hii nchi hatuna maendeleo sababu hatuuwi Simba na Tembo. Tunekuwa tukiruhusu huu uwindaji kwa miaka mingi kama mnavyodai, tumepata hayo maendeleo mnayosema tutayapata sasa hivi? Ni kimebadilik sasa hivi?

Ni sahihi kuwafukuza wamasai ili tu mwarabu aje kuua Simba na Tembo, hata kama ni wazee? Simba mzee ana miaka mingapi? Na hao wamasai si WaTz? Kwanini wanafukuzwa toka kwenye makazi yao ya asili?
 
Sasa kuliko kumuacha endangered species mzee afe si bora umuuze upate hela?
Ni sahihi kuwafukuza wamasai toka kwenye ardhi yao ya asili ili muarabu aje kuua Simba na Tembo, hata kama ni wazee kuna mwarabu mwenye muda wa kukagua kwamba huyu ni mzee na huyu ni kijana? Hao wanyama hata kama ni wazee, si wanatuingizia pesa kupitia utalii, kwa mtalii anajali kwamba huyu ni mzee au kijana? Hao wazee ji sehemu ya ekolojia na ni kivutio cha utalii pia, na tunaingiza pesa nyingi zaidi kupitia utalii huo
 
Huu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapato

Sasa serikali imeweka njia rasmi, bado unapinga
Wapinzani na wanaharakati hawanaga hoja, wao wanadaka lolote liwaijialo
 
Back
Top Bottom