Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,268
Hivyo vitalu vya uwindaji vipo Sinza sio?Acha uongo bhana..
Ngorongoro sio kitalu cha uwindaji hivyo hairuhusiwi kuwinda hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vitalu vya uwindaji vipo Sinza sio?Acha uongo bhana..
Ngorongoro sio kitalu cha uwindaji hivyo hairuhusiwi kuwinda hapo.
Utalii wa kutazama unafanyika kwenye hifadhi za taifa chini ya Tanapa au kwenye mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro, kwenye hayo maeneo hairuhusiwi kuwinda mnyama yeyote.Je, ni sahihi wamasai kufukuzwa katika maeneo yao ya asili, (mfano Loliondo kipindi cha Mwinyi), ili waarabu waje kuua Simba na Tembo? Ukizingatia wanyama hao wanatuingizia pesa kupitia utalii wa kutazama?
Kwani nani kasema uwindaji unafanyika nje ya vitalu vya uwindaji? Au hao wanyama ndani ya vitalu vya uwindaji sio wanyama ni midoli? Na kuna kitu gani kinawazuia wanyama kuingia ndani ya kitalu cha uwindaji na kuuwawa?Utalii wa kutazama unafanyika kwenye hifadhi za taifa chini ya Tanapa au kwenye mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro, kwenye hayo maeneo hairuhusiwi kuwinda mnyama yeyote.
Uwindaji wa utalii unafanyika kwenye maeneo maalumu (vitalu vya uwindaji) mfano Selous game reserve, Lukwati and piti game reserve, Rukwa and Lwafi game reserve.
Ata wewe inaonekana hujui vizuri ndo maana umekimbilia kumkandia badala ya kumuelewesha.Sio watu wote wanajua utofauti wa mapori yaliyo chini ya Tanapa na taasisi zingine kama Tawa na Wma.Ata hivyo utalii wa picha na uwindaji wa kitalii unategemea na eneo na eneo.kwahiyo vyote ni muhimu kulingana na mazingira ya sehemu husika na maslahi yanayopatikana.Kama hujui kitu kaa kimya, hakuna muwindaji wa TANAPA katika hii nchi. Pia faida inayopatikana kwa hao wanyama kuwa hai ni kubwa kuliko hiyo ya kuwawinda.
waarabu wameanzisha national park kule kwao sasa hawana wanyama wamezunguka kote huko wamekataliwa ndio wamekuja kujichotea wanyama wetu huku iko siku utasikia wazungu wanaenda kutalii uarabuni kipindi icho serengeti imebaki na kwale tuWaarabu wa Oman jambo lao limesha tiki..
Nawaonea tu huruma wamasai waliohamishiwa makazi yao asili, Ni sawa na kuwatoa wazanzibari huko visiwani uwajengee makazi sumbawanga kisa Zanzibar ni kivutio.
Haya mambo ya kujua simba au tembo ni mzee au mzee ana miaka mingapi nadhani tungewaachia wataalamu wa wanyama pori. Tupunguze ujuaji wabongoWewe ndio una upungufu wa akili. Huo muda wa kupima kwamba huyu mnyama ni mzee na huyu ni kijana muwindaji mwarabu anautoa wapi? Eitherway, mnyama hata akiwa mzee bado ni kuvutio cha utalii na ni sehemu ya ekolojia, tutaingiza pesa nyingi zaidi kupitia utalii, mnyama hata akiwa mzee mtalii atalipa pesa kumuona, kwanza hata hawezi kujua ni mzee. Hivi ina maana hii nchi hatuna maendeleo sababu hatuuwi Simba na Tembo. Tunekuwa tukiruhusu huu uwindaji kwa miaka mingi kama mnavyodai, tumepata hayo maendeleo mnayosema tutayapata sasa hivi? Ni kimebadilik sasa hivi?
Ni sahihi kuwafukuza wamasai ili tu mwarabu aje kuua Simba na Tembo, hata kama ni wazee? Simba mzee ana miaka mingapi? Na hao wamasai si WaTz? Kwanini wanafukuzwa toka kwenye makazi yao ya asili?
Tatizo la watanzania kujifanya ujuaji kila kituWapinzania na wanaharakati wao kila kitu kupinga tu
Ngorongoro ni mamlaka inayojitegemeaHata mimi inawezekana nikawa mmoja kati ya watanzania wasiojielewa,
tangu lini ngorongoro ipo chini ya TANAPA?
Kwani hao wataalam wa wanyama pori ndio wataenda kuwinda kwa niaba ya hao waarabu, na unajua kitu kinaitwa rushwa kwa hawa askari wetu jinsi itakavyowaondolea uaminifu? Watabeba twiga wazima wazima na kuwaoandisha kwenye ndege, na watasema hawakuona hayo yakitokea.Haya mambo ya kujua simba au tembo ni mzee au mzee ana miaka mingapi nadhani tungewaachia wataalamu wa wanyama pori. Tupunguze ujuaji wabongo
Jibu hoja, ujuaji ndio kitu gani hicho...Tatizo la watanzania kujifanya ujuaji kila kitu
Sasa nasema hivi uwindaji utaendelea kama hutaki hama nchi haiwezekani nchi ichelewe kupata maendeleo kwa akili za wajinga wachache kama wewe.Kwani hao wataalam wa wanyama pori ndio wataenda kuwinda kwa niaba ya hao waarabu, na unajua kitu kinaitwa rushwa kwa hawa askari wetu jinsi itakavyowaondolea uaminifu? Watabeba twiga wazima wazima na kuwaoandisha kwenye ndege, na watasema hawakuona hayo yakitokea.
Pia nimekueleza, mnyama hata akiwa mzee nado tunaweza kuingiza pesa nyingi kupitia utalii wa kutazama kuliko kuwaua na kupoteza uzuri wa ekolojia.
Pia nimekueleza, tangu tumeanza kuruhusu haya mauaji ya wanyama, tumepata maendeleo gani ambayo mnasema tutayapata sasa hivi, nini kimebadilika sasa hivi? Au kuwekwa bendera yetu kwenye jengo la Dubai ndio maendeleo hayo?
Na pia nimekuuliza, ni sahihi kuwafukuza wamasai ili waarabu waje kuua Simba na Tembo, ni kwanini wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao ya asili?
Huna hojaJibu hoja, ujuaji ndio kitu gani hicho...
Uandishi wa mtu anayehitaji kueleweshwa unaeleweka, ila akiwa mjuaji tunapita humohumo.Ata wewe inaonekana hujui vizuri ndo maana umekimbilia kumkandia badala ya kumuelewesha.Sio watu wote wanajua utofauti wa mapori yaliyo chini ya Tanapa na taasisi zingine kama Tawa na Wma.Ata hivyo utalii wa picha na uwindaji wa kitalii unategemea na eneo na eneo.kwahiyo vyote ni muhimu kulingana na mazingira ya sehemu husika na maslahi yanayopatikana.
HuelewekiKwani nani kasema uwindaji unafanyika nje ya vitalu vya uwindaji? Au hao wanyama ndani ya vitalu vya uwindaji sio wanyama ni midoli? Na kuna kitu gani kinawazuia wanyama kuingia ndani ya kitalu cha uwindaji na kuuwawa?
Bongo ina vilaza wasiohesabika mkuu, utakesha.Kwani hao wataalam wa wanyama pori ndio wataenda kuwinda kwa niaba ya hao waarabu, na unajua kitu kinaitwa rushwa kwa hawa askari wetu jinsi itakavyowaondolea uaminifu? Watabeba twiga wazima wazima na kuwaoandisha kwenye ndege, na watasema hawakuona hayo yakitokea.
Pia nimekueleza, mnyama hata akiwa mzee nado tunaweza kuingiza pesa nyingi kupitia utalii wa kutazama kuliko kuwaua na kupoteza uzuri wa ekolojia.
Pia nimekueleza, tangu tumeanza kuruhusu haya mauaji ya wanyama, tumepata maendeleo gani ambayo mnasema tutayapata sasa hivi, nini kimebadilika sasa hivi? Au kuwekwa bendera yetu kwenye jengo la Dubai ndio maendeleo hayo?
Na pia nimekuuliza, ni sahihi kuwafukuza wamasai ili waarabu waje kuua Simba na Tembo, ni kwanini wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao ya asili?
Jamaa mbishi sana halafu hataki kueleweshwaSasa nasema hivi uwindaji utaendelea kama hutaki hama nchi haiwezekani nchi ichelewe kupata maendeleo kwa akili za wajinga wachache kama wewe.
Sio tatizo lake mkuu, ni madhara ya kukulia vijiweni na kumeza story za mabroo.Jamaa mbishi sana halafu hataki kueleweshwa
Mpaka Hapo Ujue Wanyama WataishaTanzania yangu! ukute una simba 600 nchi nzima halafu kila kukicha kuua
Jibu hoja hizo; pia ni kwanini hadi leo hatujapata hayo maendeleo wakati tumekuwa tukiua wanyama tangu uhuru, leo kimebadilika nini kitakachotuletea hayo maendeleo?Sasa nasema hivi uwindaji utaendelea kama hutaki hama nchi haiwezekani nchi ichelewe kupata maendeleo kwa akili za wajinga wachache kama wewe.
Jibu hizo hoja.., ni kwanini wamasai wanafukuzwa kwenye Ardhi yao ya asili?Huna hoja