Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

Alafu hyo GPA ya 3.5 inategemea ni course gani.
 
Tuna li rais la hovyo sana awamu hii.utakubalije kulipa fidia wakati hiyo kampuni ilikiuka masharti mengi tu.Nchi imekuwa shamba la bibi.Shida sana kurithisha majitu ambayo hayakujiandaa kuwa rais
Hii kesi ilikuwa Mahakamani na ikaamukiwa zilipwe zaidi ya hiyo but Tzn ikaomba wayamalize Nje ya mahakama Sasa hapa Rais anahusikaje?

Rais unaemuita wa hovyo ndio alivunja mkataba 2018? Kwa nini hayo makosa yasitajwe na mawakili huko Mahakamani Ili Nchi isiingie kwenye hasara?

Siku nyingine mtambue sio Kila mtu mtamuonea.
 
Sasa hivi hizi ndo dili za Abduli na mama yake... wanatafuta wadai wa serikali kwa nguvu ili wavute haya mabilioni...

Nimeikumbuka Riwaya ya KULI 'Lakini yana mwisho'
 

Attachments

  • IMG-20240729-WA0003.jpg
    26.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…