ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Kwanza sa 💯 hajauza kitu Bali ameleta wawekezajiMwenye akili ni huyu anayeuza kila kitu.
Pili ni kweli ana akili maana anashirikisha na ndio maana awamu hii yake Ina Mabadiliko makubwa nyanja zote za Uchumi.