Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Tanzania utapata warembo wa kila aina, rangi, shepu na muonekano,
Rwanda warembo karibia wote ni aina moja hali kadhalika Ethiopia pia.
Hasa hasa Kiwi, Kcc,blueband,sabuni,na juice mbalimbali zipimwe kwa kina na hata ikiwezekana sample zifanyiwe cultureChina hawatoi data za covid19 kama Tanzania..
Hizi ndio hatua pombe atazichukua
1. Piga marufuku maziwa ya kenya juuzwa tz hasa brookeside[emoji1]
2. Piga marufuku magari ya kitalii juingia tz
3. Piga marufuku ndege zao kuongia tz
4. Choma moto vifaranga vya kuu vitakavyo vuka mpaka.
5. Bidhaa zote za kenya lazima zipimwe covid 19 hata Kma ni papai[emoji1][emoji111]
Wako vzr kwenye nn ndo useme ss usilete habari za paukwa pakawa humu.Wako vzr ila sisi tunajitutumua tu
Namimi ndio ninavyoelewa hvyo mkuu labda kwa mbaliiiii mbali Sana (in bwege voice) waganda tunaundugu naoWewe ndo unaelewa hilo kwamba Mkenya ni ndugu yako ila Mkenya haelewi hilo, ngoja nkusaidie kdg ni kwamba Tz hatuna undugu na Kenya hata wa kumulika na tochi.
Kama ni ndugu zetu kwanini wana tunyanyapaa? Hakuna mtu anaestahili kupigwa na vitu vizito kwenye ugoko kama ndugu snitch.Acheni uchochezi awa ni ndugu zetu mipaka waliweka wazungu kwanini tubaguane? Magufuli hawezi kuendekeza ujinga najua atampigia Kenya wataelewana tu.
Ukishindwa kuelewa kwa njia rahisi kabisa, basi itatumia ile yenye kukutia uchungu.kashindwa kujisimamia kiume kaanza kutukana wazazi ambao hawahusiki humu,wengine hata hawapo duniani, kama sio mchawi huyu atakua ndo wale james delicious wa tanganyika
kalb hayawan.
Kusimangwa lazima asimangwe, kwani yeye ni Mungu mtu?...na ubavu wa lolote hana, acha ije ifike nasi tumpate kichaa Ruto mkalenjini mtatutambua tu.Ukishindwa kuelewa kwa njia rahisi kabisa,basi itatumia ile yenye kukutia uchungu.
Hapa hisia hazitakiwi,ni nyinyi wenzetu hawa hawa mtakuja kumsimanga magu kwa hatua atakazochukua baada ya hapa.
Kumsimanga kwa kujibu yale aliyochokozwa sio sawa.Kusimangwa lazima asimangwe, kwani yeye ni Mungu mtu?...na ubavu wa lolote hana, acha ije ifike nasi tumpate kichaa Ruto mkalenjini mtatutambua tu.
😀😀 eti subiri aje Ruto kichaa wa kalenjini? We umeshamjua nani upande huu atakuwepo wakati huo baada ya Jiwe? Huenda akawa kichaa zaidi. Kua makini na unachokitamani. Juzi kati mmekalishwa na wakuu wa mikoa wawili Kili na Tanga vp leo nchi nzima iwaangukie si kenya mtaangamia?Kusimangwa lazima asimangwe, kwani yeye ni Mungu mtu?...na ubavu wa lolote hana, acha ije ifike nasi tumpate kichaa Ruto mkalenjini mtatutambua tu.
Akili za kuambiwa changanya na zako,😀😀 eti subiri aje Ruto kichaa wa kalenjini? We umeshamjua nani upande huu atakuwepo wakati huo baada ya Jiwe? Huenda akawa kichaa zaidi. Kua makini na unachokitamani. Juzi kati mmekalishwa na wakuu wa mikoa wawili Kili na Tanga vp leo nchi nzima iwaangukie si kenya mtaangamia?
Mh huo uzuri unao usema ni kqma upi ndugu ukitoa majengo ya mji wa nairobiWako vzr ila sisi tunajitutumua tu
Mbona hii tayari ishatekelezwa...Mhe. JPM pitia humu kwenye uzi huu muhimu! STOP KENYANS WASITIE PUA ZAO BONGOLAND
Habari njema ni kwamba hivi visa unavyoona ni comeback baada ya kugundua tunakwenda kuwatoa kwenye ramani za kibiashara chini ya miaka 10 ijayo.Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country
Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari
Tunasubili wajumbe tukae tulifanyie maamuziTunasubiri kwa hamu kubwa, csia wasi wasi na rais wangu huwa hajaribiwi.
Hivi unafahamu kuwa kuna mpango wa kununua ndege ya mizigo ili maparachichi, mboga , nyama n.k viweze kupelekwa nje moja kwa moja kutotea Tz?Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country
Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari
Wametufukuza au wametukataza tusiingie nchini mwao!?Kwnn wao wanatufukuza
Ni kuwasadia tu kwa kuzuia wakenya wasikaje nchiniSababu wanaogopa Tanzania tunaweza wapelekea ugonjwa sioni kama busara kuwaacha wao waingie kuchukua ugonjwa kwa hiyari yao, sasa lazima tufanye jambo ili twende sawa.
Kwa taarifa yako wakenya wengi sana TZ wananyimwa vibali vya kazi mara tu wanapomaliza kipindi cha vibali vyao ndiyo sababu wanakasirika. Sisi kazini kwetu wote wamenyimwa vibali na wamerudi kwao.Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country
Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari