Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Mfumo wa kiimla.. Ndio maana wakisikia serekali tatu wanataka kupasuka.
 
Katiba ya sasa haijakataza Mlalahoi kugombea nafasi yoyote na katiba mpya haitazuia Mtoto au Mke wa kiongozi kugombea nafasi yoyote ile
Haikatazi ndio je hao walala hoi wana fedha za kuhonga ili Wachaguliwe? Hawa viongozi wanaiba fedha serikalini za kuhonga wakati wa uchaguzi ndio maana wanashinda!!
 
Mbona kwenu kila mtu ni panya road-hatari kwa usalama wetu
 
Ikifika jioni inabidi ukapige COCKTAIL 🍹 pale UPANGA - LAS VEGAS CASINO na CHIPS 🍟 za CALORIES. Maana kuna zawadi yako inakusubiri pale πŸ™πŸΏ
Duuuh itakuwa gharama, tusubiri saa 4 usiku twende Chief pride kila kitu buku 2 inaitwa Extreme ile au siyo ndugu. Undugu kupeana michongo ya bei cheee .
 
Kuna mameneja TZ wanalipwa hela mingi kuliko hao ukiowataja combined,
Halafu unakuta familia inamameneja wa2 ndani ya nchi then wengine mamtoni,

Yaani hao ni kula bata tu, mambo ya holiday Paris, Shopping Dubai, na Checkup New York
 
Hii Dunia lazima kutakuwa na wa Kutawala na sisi wa Kutawaliwa. haiwezekani wote sisi Milioni 60 tuhamie Magogoni na Chamwino haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…