Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Hebu tusiwe brainwashed jamani! Kua Wakili sio lazima uwe unasimama kutetea watu mahakamani! Jaji Joseph Sinde Warioba unajua kama ni moja ya Wakili hatari?? Je ulishawahi sikia kasimama mahakamani kutetea mtu au watu?? Kuna wanasheria ni wataalam wa sheria za majini,mipaka au katiba na wengine criminal na wengine biashara,kila sehemu wapo! Elewa hilo
Unatumia nguvu na akili kuelimisha hii mipunguani ya Mbowe.

Mimi huwa naitukana tu, maana usitegemee itakuelewa hapo.
 
Unauhakika?yaani MTU yupo madarakani Kwa Miaka 22 alafu familia yake ibaki kuwa masikini?kuna vitu bado hatujui nchi hii.

290fa18cdb1bf5627a8616355db5dca3.png

Angalia na usome vizuri hii WEBSITE YA ZARA ZARA France | New Collection Online, halafu MAMBO mengine tutayajadili ifikapo WIKIENDI kwenye huu UZI wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
 
Kesho kesho tu Maza atamteua Mama Magufuli kuwa mbunge. Huo ni utabiri wangu.
 
Mtoto wa Mama anaitwa nani nami nimtambue bandugu?
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Unawatetea watu ambao hata ukimwambia mkate/ vitu vimepanda bei tuingie front anakuambia tangulia wewe. Siku ya kupiga kura wanaenda guest?
Acha wanyongwe
 
Back
Top Bottom