[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dj niletee msoga family ikisindikizwa na Watoto wa Zanzibar
Huu UZI unaingia hapa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana na unataka kufanana dhima na maudhui.KATI
KATIBA mpya ndo inaandikwa hivyo, Wananchi wapendekeze MFUMO mzuri wa kupata VIONGOZI ktk Ngazi mbalimbali za uongozi.
Watengenezwe viongozi Kwa ELIMU Bora mashuleni, Pia viongozi waliozaliwa na KARAMA hizo wapewe usaidizi kufika DESTINY zao, MARUFUKU uongozi wa MBELEKO ktk Nchi yangu nzuri TZ. Amen
Watz, Tunaelekea kuongea LUGHA moja ya KATIBA mpyaHuu UZI unaingia hapa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana na unataka kufanana dhima na maudhui.
KATIBA MPYA sio mwarobaini wa kila kitu!Watz, Tunaelekea kuongea LUGHA moja ya KATIBA mpya
Yes ofcourse and that's exactly we'll see what will happen to liverpool tonight when they'll be knocked out by realWalianzaje?
Learn from them
Donβt hate
WowYes ofcourse and that's exactly we'll see what will happen to liverpool tonight when they'll be knocked out by real
Madaraka makubwa ya Rais ndo tatz na 1 mengine yanafuata yaani ni Zaid ya mfalme au malkia, Katiba mpya haikwepeki.KATIBA MPYA sio mwarobaini wa kila kitu!
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Utaitwa mdini!!Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Kwahiyo wewe kwenye suala zima la KATIBA MPYA umeona nafasi ya URAIS ndio ina matatizo? Badilikeni ππΏMadaraka makubwa ya Rais ndo tatz na 1 mengine yanafuata yaani ni Zaid ya mfalme au malkia, Katiba mpya haikwepeki.
Kipindi hicho WATU wanakwenda kuwekeza UJERUMANI π©πͺ. Kuna WATU wengine walikuwa bado hawajaanza kuvaa hata NGUO ZA NDANI.kwani wakati wazee wao wanasoma wewe baba yako si alikuwa wapi.. acha wivu wa kisenge
Mbona wewe ni mwalimu babaako ni mwalimu na mamaako ni mwalimu?
Nipe MJI mwanangu! Na wewe ukachukue OFA yako πππNa kasoma shule aliyofundisha baba na mama, na akitaka kuchapwa walikuwa wanasema, "msimchape huyo no mtoto wa mwalimu fulani"
Mwenye nacho anaongezewa mkuu.