Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Huku kwetu baba ni mkata mkaa...

Mama ni mama wa nyumban!!!

Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..

Kweli tupo dunia tofaut,

Uzuri wote tutakufa na kuzikwa kaburini.
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Utaitwa mdini!!
 
Madaraka makubwa ya Rais ndo tatz na 1 mengine yanafuata yaani ni Zaid ya mfalme au malkia, Katiba mpya haikwepeki.
Kwahiyo wewe kwenye suala zima la KATIBA MPYA umeona nafasi ya URAIS ndio ina matatizo? Badilikeni 👏🏿
 
kwani wakati wazee wao wanasoma wewe baba yako si alikuwa wapi.. acha wivu wa kisenge
Kipindi hicho WATU wanakwenda kuwekeza UJERUMANI 🇩🇪. Kuna WATU wengine walikuwa bado hawajaanza kuvaa hata NGUO ZA NDANI.

Halafu leo hii, hao hao WATU wanataka kuwa sawa KIUCHUMI na KIBIASHARA. Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Hata KIMTAZAMO, hawa WATU hawatakuwa sawa.

Kwa sababu, kuna vitu vingine huwa havijengwi kwa usiku mmoja yaani NIGHTMARE DREAMING. Huwa ni maandalizi yaliyoandaliwa kwa kipindi kirefu sana.
 
Mwenye nacho anaongezewa mkuu.

314001000f1c4a948ba0017a07d96141.png




Sikiliza TAARABU kwanza! Halafu MAMBO mengine ni baadae.. 🎶🎶
 
Back
Top Bottom