peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #21
Na wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
Mwisho wake unaweza kuwa baada ya miaka 200
Tatizo lenu huwa mnapigania masilahi ya wanasiasa wenu kuliko hata masilahi yenu, jitu mishipa inamtoka kwa Mbowe kupewa kesi na anataka atoke ila kuna ndugu yake alibambikiwa kesi na kahukumiwa yupo jela na hakutokwa mishipa ya shingo kama alivyokamatwa Mbowe.Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Maji hufuata mkondo mwenye nacho huongezewaUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Wengine wanaishi kwa viwango vya kimataifa wakati wengine keki ya Taifa waliila walipokuwa mamonita wa madarasa shule za msingi.Ufalme ni kwa zile Royal familied na Zile Aristocratic families, you will continue to be their slave hadi uamke
Ni kawaida tu kwani mtoto ni rahisi kuhamasika na kazi ya wazazi wake ...nakujibidiisha kufanikisha. Kama ilivyo America na Bush family.Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Kwa Hali ya umaskini wetu na uoga mkubwa tukionana watanzania unashauri wafanyeje Ili Kuinusuru Hali hii?Ni kawaida tu kwani mtoto ni rahisi kuhamasika na kazi ya wazazi wake ...nakujibidiisha kufanikisha. Kama ilivyo America na Bush family.
Kwetu sisi hata si wavivu kabisa. Tuanaamka assubuhi mapema na jembe. Chai yetu ugali na mlenda ni kazi kwa kwenda mbele. Wanatuita wanyonge. Hatujui suti hatujui tiles na msouth, hatujui mboga tatu, bia haituimudu japo kazi tunapiga.Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Royal families zipo sanaUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Kwani wakati wakifanya hayo tulikuwa tumelala?Tuna mfumo wa utawala unaoruhusu wabinafsi kujitwalia utawala mpende msipende.Ufalme ni kwa zile Royal familied na Zile Aristocratic families, you will continue to be their slave hadi uamke
Watoto wa baba wa taifa wapo waliowahi kujaribu kugombea uongozi wakafeli hata uchaguzi mkuu uliopita walijaribu. Tukija kwa JK , Mwanawe aligombea akapata na mkewe aliteuliwa na JPM je angekataa? Sioni jitahada za JK kwenye hilo.Kwa Hali ya umaskini wetu na uoga mkubwa tukionana watanzania unashauri wafanyeje Ili Kuinusuru Hali hii?
2. Ile siasa ya ujamaa na kujitegemea ipogo?
3. Watoto wa baba wa Taifa, mkapa na JPM Mbona Hawafanya haya?
4. Ninahisi ukanda wa pwani kuna tatizo la kuridhisha kisiasa Hata kama hufai utapewa uongozi tu
hongera kakaNa wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
Mwenye nacho.....Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?