Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
But in all honesty mwisho wa siku wao ni watu kama mimi na wewe na wana hobbies zao ambazo zinakuwa rahisi kuzifanya kutokana na status na depth ya mfuko wao.
Haimaanishi just because wapo privileged wasiwe na miradi yao, dreams zao nk. Kisichotakiqa ni kudhulumu ama kunyanyasa wenzao ili wao wapate unafuu katika haya maisha.