Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Life is not fair.

Umecheza na nani ukiwa mtoto? Umeenda shule gani ulipokuwa mtoto? Vyote hivi vinaweza kuamua hatma yako bila wewe mwenyewe kutaka. Taratibu tunajenga familia za viongozi na waongozwa. Pambana na wewe familia yako iingie kwenye channel au ndio it is what it is.
 
Maisha hayalingani.

Binadamu wenye akili za kujitegemea Ni wachache.

Kuna baadhi ya watu kwao Maisha ya hayana kipaumbele.

Wanaweza kuwa na matatizo ya maji, ajira, umeme, afya lakini kwa mfano Mbowe anaweza kuwa na yeye ana tatizo lake la Ubunge, Ruzuku au madaraka.

Lakini huyu wa ajira, afya umeme hata ukimpa vitu vyake halafu Mbowe usimpe anachotaka, huyu mtu atakuona Hakuna Cha maana unachofanya.

Ila kama ukimpa Mbowe atakacho then, huyu mtu hata awe na shida Ton 50 atakuwa na Furaha tu.

Na hii ndio mbinu wanaotumia wanasiasa wanaozozana, kukaa pamoja kula ili kusiwe na kelele.

Leo, unaongelea familia ya Mwinyi, Kikwete lakini vyama vyote Tanzania vya siasa viko hivyo.

Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.

Hivyo Ni vitega uchumi vya watu..

Psychology!
 
Embe halidondoki mbali na mti....panda mtii mkuu

D2B7B17E-5841-4803-BDB4-F5C6A275C37D.jpeg
 
Na wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada

Ufumbuzi ni hapa tu mkuu:

"Piganieni katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada."

Mengine yote ni kujilisha upepo tu.
 
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...

Mama ni mama wa nyumban!!!

Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..

Kweli tupo dunia tofaut,
Tatizo lenu huwa mnapigania masilahi ya wanasiasa wenu kuliko hata masilahi yenu, jitu mishipa inamtoka kwa Mbowe kupewa kesi na anataka atoke ila kuna ndugu yake alibambikiwa kesi na kahukumiwa yupo jela na hakutokwa mishipa ya shingo kama alivyokamatwa Mbowe.

Wanasiasa ni watu special sana ni tofauti na sisi wacha waishi maisha ya kifahari.
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Maji hufuata mkondo mwenye nacho huongezewa
 
Ndio maisha yalivyo na yatakavyoendelea kuwa mpaka ambapo tutakubaliana kubadilisha vipengele kwenye katiba😃

Tukiendelea kumuachia Mungu tayari hilo litaendelea kuwa tatizo la vizazi kwa vizazi! Halafu mbona ni jambo dogo tu sema wananchi hatuna umoja sikuhizi!
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Ni kawaida tu kwani mtoto ni rahisi kuhamasika na kazi ya wazazi wake ...nakujibidiisha kufanikisha. Kama ilivyo America na Bush family.
 
Ni kawaida tu kwani mtoto ni rahisi kuhamasika na kazi ya wazazi wake ...nakujibidiisha kufanikisha. Kama ilivyo America na Bush family.
Kwa Hali ya umaskini wetu na uoga mkubwa tukionana watanzania unashauri wafanyeje Ili Kuinusuru Hali hii?

2. Ile siasa ya ujamaa na kujitegemea ipogo?

3. Watoto wa baba wa Taifa, mkapa na JPM Mbona Hawafanya haya?

4. Ninahisi ukanda wa pwani kuna tatizo la kuridhisha kisiasa Hata kama hufai utapewa uongozi tu
 
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...

Mama ni mama wa nyumban!!!

Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..

Kweli tupo dunia tofaut,
Kwetu sisi hata si wavivu kabisa. Tuanaamka assubuhi mapema na jembe. Chai yetu ugali na mlenda ni kazi kwa kwenda mbele. Wanatuita wanyonge. Hatujui suti hatujui tiles na msouth, hatujui mboga tatu, bia haituimudu japo kazi tunapiga.
Hao wanatuambia kilimo ni uti wa mgongo kumbe sisi kinatupinda mgongo.
Siasa imewapaisha angani tukiwatazama kwa mshangao!!!!
 
Mtoto wa nje ya ndoa akasala anautaka uwaziri. Teh teh teh.
Jamani ukiamua kuzaa angalia unazaa na nani kupunguza hizi lawama. Ukizaa na muuza supu sana sana mtoto amejitahidi sana atakuwa mpishi kwenye mgahawa wa mama zainabu.

Msione wanaozaa na diamond mkadhani kako romantic, wanaangalia maisha ya mtoto baadae.
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Royal families zipo sana
 
Ufalme ni kwa zile Royal familied na Zile Aristocratic families, you will continue to be their slave hadi uamke
Kwani wakati wakifanya hayo tulikuwa tumelala?Tuna mfumo wa utawala unaoruhusu wabinafsi kujitwalia utawala mpende msipende.
Mambo kama haya yamewezekana kwa sababu ya wananchi kupandikizwa ujinga,hofu na utii wa sheria kwa shuruti kupitia sheria na katiba mbaya ya 1977.
Tiba ya kadhia hizi ni Katiba Mpya na utawala wa sheria.
 
Kwa Hali ya umaskini wetu na uoga mkubwa tukionana watanzania unashauri wafanyeje Ili Kuinusuru Hali hii?

2. Ile siasa ya ujamaa na kujitegemea ipogo?

3. Watoto wa baba wa Taifa, mkapa na JPM Mbona Hawafanya haya?

4. Ninahisi ukanda wa pwani kuna tatizo la kuridhisha kisiasa Hata kama hufai utapewa uongozi tu
Watoto wa baba wa taifa wapo waliowahi kujaribu kugombea uongozi wakafeli hata uchaguzi mkuu uliopita walijaribu. Tukija kwa JK , Mwanawe aligombea akapata na mkewe aliteuliwa na JPM je angekataa? Sioni jitahada za JK kwenye hilo.
 
Na wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
hongera kaka
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Mwenye nacho.....
 
Back
Top Bottom