Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

Uliwatafutia wapi?
Hawa jamaa huwa wanajifanya wasomi na wamequalify kweli, lakini kwenye makampuni na serikalini ndo wa kwanza kupendekeza madili ya nje hata kama kazi Inaweza kufanywa ndani ni wataalamu wa kucheza na maneno na misamiati migumu kwenye proposal zao hatakama hakuna uhitaji huo.

Huwa nawaita wapiga deal, utatishwa na wao jinsi wamekaa serikalini na kujua mifumo inavyofanya kazi na kuendeshwa basi watakutisha kweli kweli.

Eti uwapinge kwa hoja wakati naona wanaofanya vizuri zaidi hawana hata hizo certification. Sipingingi kuwa na certification lakini wengi ndo hivyo wanazo na walipata kazi kwa hizo lakini hakuna la maana wanafanya ni wapiga deal wengi wao sio wote ila wengi
 
zinafanya CV yako kuwa Great
😭😭, Mbomozo, hongera upo umetulia kwenye kiti na great cv ambayo inasindikizwa na certification. Inasaidia nini!, Oh! kumbe nilikutakia siku njema nisamehe nimekuja tu kukuchokoza.
 
Hawa jamaa kila siku wanalalamikia IT wabongo mara wanaenda nje, hapo Dar Kuna kampuni kibao tena nyingine zina asset za kueleweka na devs wako hapo wengi na product zao.

Sasa nashangaa ukiwauliza walitangaza tenda wapi huwa hawajitokezi na facts hiyo nikulaumu tu.

Tenda imetangazwa wapi?

Lini?

Akina nani walituma proposal
?

Tupe ushahidi ili tuamini kuwa Tanzania hakuna IT sio manakuja na maneno matupu alafu wengine ni wale wale wa cha juu.

Uko mnapewa kazi na kampuni zenu mnashindwa mnachukua watu wa mitaani na kuwapa tenda kwa pesa za madafu na wao wanawafanyia mambo ya ajabu, wajibu wenu mnapouacha na kutaka kupiga madili msiwe mnalalamika .

IT COMPANY ZIKO NYINGI HAPO DAR NA NYINGI ZINAAMINIKA NA SECTOR KUBWA NYIE TU NDO MNAKOSAGA WA KUFANYA NAO KAZI ENH!.
 
No no futa hio mindset kijana kuna Certification kubwa na ni free kuzipata na zinafanya CV yako kuwa Great
Ziweke hapa watu wajifunze.
Pia uthibitishe ukweli wa kauli yako.
Utasaidia wengi sana.

Angalizo: Kuna kufanya kitu kwa kufuata passion/interest, vision yako na kuna kutafuta kipato tu.
Unaweza kuta hizo za bure si za kitu kilicho moyoni mwako hivyo hauwezi kuwa competent sana na hiyo kitu umepatia certification kama huna passion nacho.
 
No no futa hio mindset kijana kuna Certification kubwa na ni free kuzipata na zinafanya CV yako kuwa Great
With or without certifications, it is the hands that have done many projects that makes Resume great!
 
Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, 🤔 inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... 😊😊😊
Competent scientist,inabidi ajiweze kitaa,nyie mliopo maofisini,ni bahati tu,sio kwamba mnajua kuliko wengine,mkirudishwa kitaa,mtachakaa,hata pa kuanzia hamtapaona,
 
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?

Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Vijana wazuri kwenye computer wapo wengi tu,inategemea nyie mmetafuta vipi?ukichukua kijana fresh kutoka chuoni,hata hujampa muda wa kujifunza kazi,ukaanza kumlaumu,hutakuwa huwatendei haki,hakuna dakitari wa uapsuaji,anayetoka shule na kwenda kufanya operation,lazima ufanye internship,mafunzo kwa vitendo ukiwa chini ya wazoefu,Ili na wewe uive.
Vijana wapo wengi tu,wanataka fulsa tu,
 
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?

Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Project gan tuanzie hapo....nna wanangu mafundi kichiz Ni flesher's na hawana mchongo , ...yaan Ni programmer wa uhakika...labda Kama lengo lako kuponda tu
 
Hawa jamaa huwa wanajifanya wasomi na wamequalify kweli, lakini kwenye makampuni na serikalini ndo wa kwanza kupendekeza madili ya nje hata kama kazi Inaweza kufanywa ndani ni wataalamu wa kucheza na maneno na misamiati migumu kwenye proposal zao hatakama hakuna uhitaji huo.

Huwa nawaita wapiga deal, utatishwa na wao jinsi wamekaa serikalini na kujua mifumo inavyofanya kazi na kuendeshwa basi watakutisha kweli kweli.

Eti uwapinge kwa hoja wakati naona wanaofanya vizuri zaidi hawana hata hizo certification. Sipingingi kuwa na certification lakini wengi ndo hivyo wanazo na walipata kazi kwa hizo lakini hakuna la maana wanafanya ni wapiga deal wengi wao sio wote ila wengi
Mleta mada kaanzisha Uzi tu kuongeza status na reaction scores tu labda. Hajatuwekea Ni project ipi ila kaamaua kutukana profession za watu ...halafu huenda nae hajui ukubwa wa computer science. ..hajui kuwa mtu mmoja hawez kusoma cs yote , hajui lolote pengne ..hajatuambia kafanyaje fanyaje kupata mtu wa kazi , ila Bora mrad matusi na dharau....mbona vijana tupo
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
With or without certifications, it is the hands that have done many projects that makes Resume great!
Its OK projects create a great resume but it will be considered kwenye makampuni yenye kufanya kazi za ICT related or dedicated kabisaa... But ajira nyingi za NGOs na Serikalini baadhi they consider much on certification ndio maana Ajira portal there is a professional certification section. na nzuri baadhini CISCO CCNA, HCIA, ORACLE, JUNIPER or CERTIFIED EH PEN TESTER ukiwa nazo Waajiri mate yatawatoka...Hii ndio directon ya ICT Tz😎 I stand to corrected
 
Kuna mtu hapo kasemea swala la uchumi,

CCNA ya CISCO sio affordable kwa graduate wengi ambao unakuta wana deni la mikopo. Ukija kwenye CEH labda inayoheshimika zaidi ni ya Offensive Security na yenyewe ni dola 1500 (approx) karibu MIL 3 za TZ. Certs nyingine za bei chee au za bure hazithaminiwi na naweza kukuprovia hilo coz nmezijaza balaa.

Turudi tu kwenye ukweli kwamba opportunities are not equally distributed, kazi nyingi ni kujuana na unakuta kwenye taasisi fln part ya tech inaendeshwa na old-minded people ambao wanakuwa na non-technical prejudices nyingi sana. Pia use of outdated technologies inasababisha kutokua na hitaji la vijana wapya. Ndo maana yameibuka makundi ya wadukuzi kama Lapsus$ ambao kazi yao ni kuwanyoosha tu hawa oldies n kuwapa attacks za maana kila siku.

Kwa hali hio vijana wengi wanaishia kuachana na tech au wakiendelea basi wanakua watengenezaji wa ransomware tu coz skills wanazo ila hawana pa kuzitumia

Wewe inawezekana umepata bahati lkn sio kila mtu ana hio bahati.
 
Hawa jamaa huwa wanajifanya wasomi na wamequalify kweli, lakini kwenye makampuni na serikalini ndo wa kwanza kupendekeza madili ya nje hata kama kazi Inaweza kufanywa ndani ni wataalamu wa kucheza na maneno na misamiati migumu kwenye proposal zao hatakama hakuna uhitaji huo.

Huwa nawaita wapiga deal, utatishwa na wao jinsi wamekaa serikalini na kujua mifumo inavyofanya kazi na kuendeshwa basi watakutisha kweli kweli.

Eti uwapinge kwa hoja wakati naona wanaofanya vizuri zaidi hawana hata hizo certification. Sipingingi kuwa na certification lakini wengi ndo hivyo wanazo na walipata kazi kwa hizo lakini hakuna la maana wanafanya ni wapiga deal wengi wao sio wote ila wengi
Mim natafuta wa nje siwez poteza mda watu wababaishaji
 
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?

Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Mkuu kuna linked In kuna github ingia huko weka tangazo watu wakushushie CV zao sio kuja hapa kujimwambafy kumbe hamna lolote. Pia pesa ya kulipa ipo au mnataka vitu bei chee.

Mtu anakuja na project kubwa anataka ifanyike kwa bajet ya 900k au 1.2M akikosa wa kumfanyia au akipata wa kumfanyia cheap thn ikawa hovyo anakuja huku kulalamika kumbe tatizo ni yy.

Angalia mishahara ya devs nchi zilizoendelea kiteknolojia utakuta minimum ni 5k per month.

Bora nisubiri nipate project moja mwaka mzima nnayolipwa 55 usd per hour kuliko kufanya kazi za stress na malipo kiduchu za wabongo.

Nenda linkedin au professional hiring site yyt weka tangazo watu wakuletee CV uchague sio kuja kujimwambafy hapa under anonymous ID
 
Mim sijajimwambafai nimeongea uhalisia wa kitu ambacho nimeexperience, uwezo wa watanzania wengi ni mdogo
 
Nje ya mada ila ndani ya mada....

Ni vyema sasa tuwe tunaambizana masomo au courses za kusoma watoto.

Wazazi wengi wetu sio wote hatuna ufahamu mzuri wa course ambazo ni hot cake na za muda mrefu au ambazo zitakuwa hot cake kwa baadae.

Pia wengi elimu ilikuwa au ndogo au ya Kati hivyo tunajikuta tunapenda wapate elimu iwakomboe ila hatujui tuwashauri kipi na kipi.

So kabla ya kulaumu tujaribu kupeana elimu ili vizazi vyetu viwe na ujuzi tusubiri waajiriwa kutoka nchi za wenzetu.
Hapo kwenye kuambiana kozi za kusoma hapo naona hujakaa sawa. Lengo lako la kusoma ni nini?, kama lengo ni kazi yoyote tu kufuata upepo wa iliyopo sokoni sawa kuambiwa kozi za kusoma, ila naona mwanafunzi mwenyewe inabidi awe na malengo na elimu yake la sivyo elimu yake itaenda bure tu
 
Mim sijajimwambafai nimeongea uhalisia wa kitu ambacho nimeexperience, uwezo wa watanzania wengi ni mdogo
Ni hao watanzania unaowajua wewe na hao wamekufanya ujenge mindset fln kuhusu hili swala wakati sio uhalisia.

Kama unataka uhalisia fuata procedure nlizokuelezea hapo juu kutafuta huyo competent unaemtaka. Nakwambia hivo coz niko kwenye field hii kwa muda na nmekutana na smart minds wengi tu kwenye hili game wakitokea humuhumu Tanzania.

Kuna kazi moja nilimuomba mtanzania mwenzangu baada ya kuona tangazo shm fln lkn kpnd hicho nlikua natumia namba ya safaricom whatsapp so akajua moja kwa moja mm ni mkenya. Hio siku ndo niliamini watanzania wengi ni wapu**mbavu(samahani) yaan jamaa kaassume mm mkenya kaanza moja kwa moja kuwapondea developers wa Tanzania then baadae akanipa job. Mie kazi yake nikafanya na tukamalizana. Siku moja ikatokea tukakutana face to face kwa makusudi tu nkamwambia mie ni mtanzania coz ndo ilikua mara ya kwanza kuniuliza uraia wangu hapo mwanzo aliassume mie ni mkenya kwa sababu ya namba aloiona, jamaa alikua na aibu kinoma mda wote niko nae hadi ikabidi niondoke mapema kumwacha awe huru

So na wewe usiwe na prejudices za kijinga hivo, kuna developers wazuri tu bongo lkn sio wote wako JF au huko ulikowatafutia (japo hautaki kusema uliwatafutia wp)
 
Back
Top Bottom