#COVID19 Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm
TusifaNye mambo kwa hasira !
===
Nilitegemea, tuzitake IMF na WB zitukopeshe hela za kutengeneza chanjo yetu wenyewe bila kutegemea hizi zilizo ghali kununua.
 
Hapo lengo ni wakubwa wapige pesa

Hakuna mtu ana nufaika na pesa kwenye chanjo za msaada na serikali inatoa bure. Lakini ukweli ni kwamba kama kuchagua Johnson ni bora zaidi sana kuliko hii ya china
 
Hakuna mtu ana nufaika na pesa kwenye chanjo za msaada na serikali inatoa bure. Lakini ukweli ni kwamba kama kuchagua Johnson ni bora zaidi sana kuliko hii ya china
Hakuna cha bure mjomba, husikii wakisema serikali imetumia pesa nyingi? Posho ya vikao, kamati n.k
 
Hofu Ni Mbaya Kufa Tutakufa
Sasa Utasikia Oops Vigogo Wafa Vigogo Wapukutika
By Jiwe
 
Utasikia na afghastan wanatupa dozi buku 2 nasisi tunachukua tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
Naamini China hawa-fake Sumu tu, Hilo lichanjo lao siliamini Mimi ni heri nilichanjwa Johnson and Johnson.
 
Naamini China hawa-fake Sumu tu, Hilo lichanjo lao siliamini Mimi ni heri nilichanjwa Johnson and Johnson.
Shida ni kwamba chanjo ya China haijathibitishwa na imeleta matatizo mengi ya corona uko mashariki ya mbali, ni Kama umechoma maji tu
 
Back
Top Bottom