TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hapo lengo ni wakubwa wapige pesa
Hizi chanjo sio bure ni mkopo.Hakuna mtu ana nufaika na pesa kwenye chanjo za msaada na serikali inatoa bure. Lakini ukweli ni kwamba kama kuchagua Johnson ni bora zaidi sana kuliko hii ya china
Hakuna cha bure mjomba, husikii wakisema serikali imetumia pesa nyingi? Posho ya vikao, kamati n.kHakuna mtu ana nufaika na pesa kwenye chanjo za msaada na serikali inatoa bure. Lakini ukweli ni kwamba kama kuchagua Johnson ni bora zaidi sana kuliko hii ya china
Akitangaziwa bure anadhani ni bure kweli, watu hapo wanapiga pesa mbaya kabisa, zimeundwa timu za hamasaHizi chanjo sio bure Ni mkopo....
Cash Ndiyo Wanazoa ChanjoHizi chanjo sio bure Ni mkopo....
Zoa Zoa Tu Yaani Sikio La KufaUtasikia na afghastan wanatupa dozi buku 2 nasisi tunachukua tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Naamini China hawa-fake Sumu tu, Hilo lichanjo lao siliamini Mimi ni heri nilichanjwa Johnson and Johnson.Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
Shida ni kwamba chanjo ya China haijathibitishwa na imeleta matatizo mengi ya corona uko mashariki ya mbali, ni Kama umechoma maji tuNaamini China hawa-fake Sumu tu, Hilo lichanjo lao siliamini Mimi ni heri nilichanjwa Johnson and Johnson.
Hahaha, watu kwenye maabara zao wametumia pesa na resource zngne na muda, Alaf wakupe wew bure hzo chanjo?[emoji1][emoji1]Akitangaziwa bure anadhani ni bure kweli, watu hapo wanapiga pesa mbaya kabisa, zimeundwa timu za hamasa
Unakopeshwa,utalipa pole pole tu...Mabeberu hayanaga haraka na deni lao [emoji1]Cash Ndiyo Wanazoa Chanjo
Hapa nchini zimeundwa kamati za chanjo yaani watu wanapiga pesa mbaya kupita maelezoHahaha, watu kweny maabara zao wametumia pesa na resource zngne na muda, Alaf wakupe wew bure hzo chanjo??[emoji1][emoji1]
Watakuja kwa mgongo wa uwekezajiUnakopeshwa,utalipa pole pole tu...Mabeberu hayanaga haraka na deni lao [emoji1]
Mabeberu HawatupendiUnakopeshwa,utalipa pole pole tu...Mabeberu hayanaga haraka na deni lao [emoji1]
idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000.