frankshops
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 212
- 179
Zije tu wajirudie tena waliochoma pamoja na akina lusekelo.Ss Huku gwajmaaa alieleweka sana Hatuchanjiiiiiiiii,Hata mama anajua.Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Chanjo gani imethibitishwa na WHO mkuu? Jishughulishe kuujua ukweli!Shida ni kwamba chanjo ya China haijathibitishwa na imeleta matatizo mengi ya corona uko mashariki ya mbali, ni Kama umechoma maji tu
Si mliletewa Chanjo nzuri ya Janssen hamtaki... Sasa ngoja zije za kichina na zile za pale Mwenge. Mtajua hamjui...! Baada ya muda wataanza kuzilazimisha!Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
Nakubaliana na wewe 100%Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
The only resources mtu mweupe anaweza kuitumia kwa sasa ni kama hivi, tengeneza tatizo kubwa hadi dunia ishangae, tafuta suluhu yake, dunia yote ikupigie magoti wewe tu ili wanunue kutoka kwako.
A white man is just a [emoji241]!
Ungesema tu mzungu,The only resources mtu mweupe anaweza kuitumia kwa sasa ni kama hivi, tengeneza tatizo kubwa hadi dunia ishangae, tafuta suluhu yake, dunia yote ikupigie magoti wewe tu ili wanunue kutoka kwako.
A white man is just a [emoji241]!
Zakuchoma kuku ama? Manake Raia wamezidisha. Juzi kati tunatonywa kiwa dar walipokea dozi 30000 awamu ya kwanza na wametumia 15000 tu na zinaezpire ndani ya mwezi mmoja huu, na Taifa derby jana walitoa za bure kuingia bure ila uwanja ukawa mtupu tu,Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Hata neno Covid lenyewe hatujui maana yake,hiyo chanjo ndio tutaweza kutengeneza.TusifaNye mambo kwa hasira !
===
Nilitegemea, tuzitake IMF na WB zitukopeshe hela za kutengeneza chanjo yetu wenyewe bila kutegemea hizi zilizo ghali kununua.
Watanzania bwana, yaani chanjo zinazo toka Uchina hizo ni za kuokoteza lakini chanjo kutoka Merikani na Ulaya hizo mnaona ni balabala!!!Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
ACHA siasa, chanjo Hata zikiwa 100 tofauti tutachanja ,Acheni zungumzia chanjo katika negative way ,hutaki chanja baki wewe,ila sio walisha maneno na kuwakatisha tamaa wengineKWANINI WAKINA MAMA HWAJITOKEZI WOTE KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO RAIS?KWANINI CHADEMA HAWAJITOKEZI KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO MBOWE?KWANINI CCM HAWAJITOKENI ILI KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO, KWANINI WAFANYAKAZI SERIKALINI HAWAKUJITOKEZA WOTE ILI KUMMUUNAG AMIRJESHI MKUU?? KWANINI LINAPOFIKA SUALA LA CHANJO AHWA WANACHAMA WAKILA CHAMA WANAANZA KUZUNGUKA.KWANINI ZITO NA MAKAMBA HAWACHANJI KUMUUNGA MKONO SAMIA
KWANINI WAKINA MAMA HWAJITOKEZI WOTE KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO RAIS?KWANINI CHADEMA HAWAJITOKEZI KUCHANJWA ILI KUMUUNGA MKONO MBOWE?KWANINI CCM HAWAJITOKENI ILI KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO, KWANINI WAFANYAKAZI SERIKALINI HAWAKUJITOKEZA WOTE ILI KUMMUUNAG AMIRJESHI MKUU?? KWANINI LINAPOFIKA SUALA LA CHANJO AHWA WANACHAMA WAKILA CHAMA WANAANZA KUZUNGUKA.KWANINI ZITO NA MAKAMBA HAWACHANJI KUMUUNGA MKONO SAMIA
Kwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?
Msaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson