Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

Yesu hakua mpumbavu kubadili maji kua pombe kwenye harusi ya KANA.
Sira 31:31 BHND
Usimkaripie jirani yako kwenye pombe, wala usimdharau anapofurahia karamu. Usimwambie neno la kumwonya, wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni.

Mit 31:6
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
 
Nini kifanyike tena? Wee wacha watu wanyweee sii hela yao muhimu ni maokoto ya kodi basi.
Sasa ombe hamtaki tunywe, vitumbua vimeingia mchanga kuna starehe gani iliyobaki sasa? Mbona mnataka kufanya maisha yaendelee kuwa filled with misery and only pockets of hapiness
 
Bar zifungwe, viwanda vya pombe vifungwe na kila ataekamatwa kanywa pombe alambwe fimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…