Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

Ulevi ni nini na Unapimwaje ? Sababu kunywa(unywaji na ulevi) ni vitu viwili tofauti..., ila kama tuna watu wengi ambao wana abuse alcohol basi kweli hilo ni tatizo
 
2000 tu unapata double kik,smart gin ,kisungura
Mfumo ndiyo unataka walevi wawe wengi

Ova
Mm mtaani kwangu tunaanza kukata asubuhi saa 1 mpaka nane usiku. Yaani anayechoka huondoka na kuwaacha wanachama wakiendelea. Ni game gambling
 
Ndiyo ujue, siku nyingine usirudie kuweka maneno ya kumtabiria mtu usiyemjua mabaya.
Sawa mkuu, kumbe sikujui..nikadhani maneno yako yalimaanisha nakujua.
 
🤣

Hii mada imenichekesha kweli.

Aliye ‘sober’ ndo unaweza kudhani anaandika kama amelewa na ambaye anakunywa pombe ndo anaandika kama hajalewa.
 
Back
Top Bottom