Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Kwani akili ni nini bosi?
 
Daima Tanzania sio nchi ya kufananisha na Zimbabwe nchi tuliyowasaidia kupata uhuru
Ukiwa na maana kuwa ni exceptional sana au?! Hebu funguka kidogo kuwa ni kwanini isifananishwa na Zimbabwe.
 
Kamwe hawawez kukubali maendeleo Africa
Yaan watengeneze china wengine akat china yenyewe ni matatizo kwao
 
Nilishafafanua huko nyuma ila nitaweka mkasa mzima siku ya 25/12/2018,

Nina imani chozi litakudondoka jinsi vikundi vya mauaji na Udhulumati ma mateso dhidi ya Watanzania kwa kigezo cha kuwa ni Wapinzani.
Siku ukiweka hiyo tafadhali ni tag
 
Naona inafaa serikali imtumie Rais Mstaafu Kikwete aokoe jahazi kwa masuala ya mahusiano na Marekani nakukumbuka wakati wa utawala wake waliokuwa marais wa Marekani Obama na Bush walikutana hapa Tanzania
Mshamwambia anawashwa mnadhani kasahau? Anawachora tuu kwa mbali
 
Sawa kiongozi, ingawaje kwenye swali langu ndipo palipo na jibu la hoja zako.
Nakutakia kazi njema ya kufanya kazi ya utume wa huruma..!!
Hahaha! Kilamaa,we are family in jf, ila tusimamie ukweli bila chuki. Unajua hata maisha ya kawaida, ukiwa na kipato alafu ukawaona Jirani zako hawana akili ya kipato. Utakuwa umetengeneza chuki nao,KAMA SIYO KUOMBA UFIRISIKE,WATASUBIRI USIKU NA MCHANA UFIRISIKE WAO WASHANGIRIE. huu ndiyo mfumo wa maisha duniani. Tuishi kwa akili
 
Wacheni propaganda za kijinga kama hamuwezi siasa acheni huu ujinga. Tuwekewe vikwazo kwa kisa gani chenye kudeserve. Siasa za kuchenji gear hewani mnafikiri ndio itawaingiza upinzani madarakani?
 
Kabla ya hiyo kura kutangwaza matokeo bunge litakuwa limechomwa moto wakiwa ndani kama ofisi za tume ya kongo.
 
Maongezi ya kina! Anayeweza kukupa taarifa kama hizo ni mtu wa ngazi za juu za serikali. Lakini nikiangalia unavyoandika sioni kama wewe uko kiwango cha kuweza kuzungumza na mtu wa kiwango hicho. UKo chini sana! Labda tu, you are just wishing.
Watu wa ngazi za juu serikalini si ndo wale wanaita mradi ni stegolas?
Mbona wamezidiwa na huyu?
 
 
Nini maana ya trade embargo na itatuathiri kivipi? Naomba kufaham hilo
Kama hajui maana ya vikwazo vya kiuchumi meulize Mzimbabwe yoyote. Atakueleza na itafanya kama ndo njia sahihi ya kufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…