Sawa kagushi,lakini amelitumikia taifa miaka28 kwa weledi wa hali ya juu alafu unamtimu pasipo kifuta jasho. Angalikuwa baba au mama yako amefanyiwa ivo,wewe ungekuwa na furaha? Human face iliyofanyika Mwanza isingefaa maeneo mengine? Hebu tutafakari upande mwingine, mfano kule Mtwara, WAPO wakulima wakubwa na wadogo. Hao wadogo korosho zao huuza wakati wowote kutokana na shida ya maisha. Yupo mtu ana nunua kama middle man,anadunduliza mpaka anapata tani kumi na zaidi,Leo hii korosho kuuza mpaka uoneshe shamba,ukishindwa korosho siyo zako tena,bila kujali hela umetoa wapi,unategemewa na watu wangapi! Hii inatofauti na vyeti feki, HUMAN FACE HAPO IKO WAPI? AMANI NI NENO PANA SANA, UNACHOTAKA UTENDEWE,MTENDEE JIRANI YAKO,HII NDIYO AMANI. Jilazimishe kuwa na akili japo kidogo tu.