Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Diplomasia ndio nini?! Wanaifanyaje?! Waifanye kwanani?!
 
Ccm ipi hiyo ya kukitoa kinyago iliyochokichonga, ni waoga kama nini ... they always feel safe until they are in trouble.

Mi nina list yangu ya wana CCM hata mkaa simpi na nilishaapa nikawaambia mnapopashabikia ndo patawalisha, wavesha, watibu ... ukinifuata na njaa zako utaambulia shit tu.
 
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Licha ya kutoeleweka kwa bandiko lako, lakini hujui chochote ulichokiweka hapa. Hata hiyo 'Trade embargo' inaonyesha huijui, unaisikia tu.

Ngoja nikufurahishe, ujisikie vizuri kabisa na hoja yako hii:
Hivyo vikwazo wakiviweka havitasaidia chochote, kwa sababu 'superpower' wetu kwenye ukanda huu atakuwa yupo upande wetu. Mahitaji yetu yote yataendelea kuwa yanamiminika kwetu kutokea Kenya. Na hao rafiki zako wakizidisha kelele, tutamwomba 'Mkora' wetu awashughulikie! How about that!
 
Unadhani Mulla na osama bila mabomu wangelinyooka? Vikwazo havitawaathiri maana watapata kila kitu wanachokihitaji, sisis makabwela ndio tutaumia. Lkini bomu litamshitua sana.... atabadilika
Ziko mbinu nyingi mkuu, kweni Hugo Chavez alipigwa Bomu, teknolojia iko mbali sana "mionzi" tu kitu kinanyooka.
 
Maneno ya balozi yanasapoti andiko lako
 
Maongezi ya kina! Anayeweza kukupa taarifa kama hizo ni mtu wa ngazi za juu za serikali. Lakini nikiangalia unavyoandika sioni kama wewe uko kiwango cha kuweza kuzungumza na mtu wa kiwango hicho. UKo chini sana! Labda tu, you are just wishing.
 
Ziko mbinu nyingi mkuu kweni Hugo Chavez alipigwa Bomu teknolojia iko mbali sana "mionzi" tu kitu kinanyooka.
niko nyuma hivi Hugo yuko wapi? alifanywaje? sorry........................... he is dead!.....Hugo Chávez, the 62nd President of Venezuela, died on 5 March 2013 at the age of 58.......... Ila sijui alikufa na nini!
 
IT WILL NEVER HAPPEN
UTAKUFA KWANZA WEWE WALAHI
 
niko nyuma hivi Hugo yuko wapi? alifanywaje? sorry........................... he is dead!.....Hugo Chávez, the 62nd President of Venezuela, died on 5 March 2013 at the age of 58.......... Ila sijui alikufa na nini!
Mkuu naona kama unanisanifu point yangu ni Dakta wetu asicheze na CIA.
 
Inawezekena tusibishe kila kitu kwa mahaba. Lazima tukijikwaa tujuwe tumejikwaa wapi tujisahihishe. Siyo mbaya kujifunza kupitia makosa ni uungwana na ni sahihi. Kufanya makosa na kujaribu tena kufanya kosa lile tena makusudi
 
Tumeanza kupiga hatua mbele kidogo kama ishara ya kutaka kutoka kwenye minyororo ya ubeberu lakini naona mabeberu wameungana pamoja na wanawatumia vibaraka wao dhidi yetu. We need Economic Independence
 
Mkuu naona kama unanisanifu point yangu ni Dakta wetu asicheze na CIA.
Hapana sikusanifu, najua Hugo alikuwa na uadui mkubwa na USA, ila imenitoka kidogo kuwa alishakufa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…