Khaa!! Mbona tuliambiwa ni nadhamu na uvumilivu??
Hizo ni namba tu ambazo genge la "wahuni" limekaa likaamua kuandaa hizo takwimu..usifanye mchezo na jeshi letu! Nilikuwepo...
Khaa!! Kwahiyo tulidanganywa? Wewe una rank gani? Au mwalimu wako ana rank gani?Mkuu labda uje darasani! Ila kwa kifupi tu, no kwamba!; a force which is inferior but PREPARED can defeat a superior enemy by SUPRISE attack...thanks bro!
Khaa!! Kwahiyo tulidanganywa? Wewe una rank gani? Au mwalimu wako anarankk gani?
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Mimi mwenyewe nilikuwa nafikiri hivyohivyo niliwahi kusikia marekani na uchina wanashutumiana juu ya bajeti zao za majeshi.Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Hata kama linazidiwa nguvu za kivita, lakini linawazidi wote hao kwa nidhamu, kitu ambacho ni muhimu sana.