kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Kutokana na mazoezi ya ndege za kivita yanayoendelea siku za ivi karibuni, nilivutiwa kufatilia nguvu ya jeshi letu JWTZ Afrika.
Imeniuma sana kukuta jeshi letu linazidiwa nguvu na Kenya & Uganda.
===============================
http://www.globalfirepower.com/countries-listing-africa.asp
kwani mkuu kulikuwa na sababu za msingi za kuingia kwenye.vita ya kagera?Toka mwaka 1978 enzi za Idd Amini, maana alikuwa anaisadiwa na Gaddaf na baadhi ya nchi za Kiarabu zenye uwezo mkubwa.
Wewe ndo huelewi tena ni mbuzi kabisa. Kwa akili yako ndogo, unathani mtu kutofahamu mambo ya nguvu za kijeshi ndo haelewi kila kitu, kuna vitu ambavyo wanaelewa ambavyo wewe hivijui. Na kwa taarifa yako, kujifanya unajua kila kitu ndo ujinga mkubwa.Sniper asante kwa kuwaelewesha. kuanzia mleta mada mpaka na wachangiaji wengi hawajaelewa chochote kwenye hiyo content iliyoletwa humu. hii ni aibu kwa taifa kuwa na watu wenye uelewa mdogo kiasi hiki!
kidogo zemasala amejaribu kujiuliza swali logic kidogo based kwa kile alichoongezea mleta mada. at least!
We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Hahahahaha..
Nenda ngerengere ukajionee vyombo ndugu.
Kenya wapo juu yetu sababu wameonesha zana zao Somalia
Angekuwa baba yako ningemjibuWe mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:
We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:
Idi amini alikuwa na vifaa vingi bora kuliko tz lakini watumiaji wa hivyo vifaa hawakuwa mahili vya kitosha,,,,,
Mfano umenunua sukhoiy 35,,,ndege ambayo ni ya kisasa zaidi lakini ukawa na marubani wenye uwezo wa kuipeleka juu na kutua tu ,,,,itakufaa nini vitani hata kama umenunua su35 mianane?
swali ni hili; umeelewa bandiko la mleta thread? naona umekuja na maneno meeeeeeeeeengi badala ya kujibu hoja.Wewe ndo huelewi tena ni mbuzi kabisa. Kwa akili yako ndogo, unathani mtu kutofahamu mambo ya nguvu za kijeshi ndo haelewi kila kitu, kuna vitu ambavyo wanaelewa ambavyo wewe hivijui. Na kwa taarifa yako, kujifanya unajua kila kitu ndo ujinga mkubwa.
Na amani pia tunawazidi umesahau tu
Wewe kama umelogwa vile jeshi letu lisikiage tu kwa mbali hizo takwimu zenu ni propaganda gusa unase
Wewe kama umelogwa vile jeshi letu lisikiage tu kwa mbali hizo takwimu zenu ni propaganda gusa unase
hii repoti inatolewa wauzaji wa silaha dunianiTanzania Taarifa zake nyingi bado ziko confined ...Kim baadhi ya mambo yake haiyaweki Wazi na hiyo imekuwa sera ya jeshi ya usiri ......aghalabu ...ukiondoa majenerali hadi makanali wachache wenye access ya kupata information ya jeshi Zima ...Wapo maafisa wengi Tu ambao hata wao hawana Taarifa kamili za uwezo wa jeshi Zima ...zaidi ya matawi ambayo wanahudumu.
Major mfano ambaye Ana serve Artillery .....Yuko busy kiasi hajui kuna nini kinaendelea kikosi cha Nyani wa Mwituni Moro ....lakini pia wanategemeana ...mfano Air Force commander hawezi kurusha Ndege bila mawasiliano na Land force , Navy ...kupitia Air defense ...na mawasiliano ...KWA ujumla ....hii ni mzuri na Salama ..