deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 419
Chief deonova nakuomba whatsaap plz
0759361041
Poa nakucheki chief, usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief deonova nakuomba whatsaap plz
0759361041
Shariti akulipe mienzi yote ilio baki maana hayakua makubalianoMfano nimepewa mkataba wa mwaka mmoja na nikausaini, baaada ya kufanya kazi miezi mitano mwajili anatangaza kuwa kampuni imefilisika hivyo itafungwa mwezi wa sita (kwa barua), sheria inasemaje hapo kuhusu malipo ya mwajiliwa??
Nina mda sijapita huku. Anyway away watu mlimalizana vipi? Maana hapa ulikuwa na bonge la kesi na fundisho kwa waajiri wanyanyasaji.Habari kiongozi.
Mimi ni mwl ktk shule moja ya private hapa Dar es salaam.
Nina matatizo makubwa kazini, Wameniundia zengwe kuwa nimewapa mtihani wanafunzi,
Nikiwa nasahisha, wakanizuia kumalizia wakamalizia wao
Toka siku hyo wamenizuia kuingia shuleni
Na tayari wameshatafuta mtu mwingine
YOTE HAYA YANAFANYIKA
sijaitwa nikahojiwa juu ya tuhuma yangu
Wala sijaandika maelezo yoyote
JE
sheria ikoje ktk kumsimamisha na kumfukuza mwajiriwa. Nina miaka tisa (9) kazini
Pia hawajanipa hata barua ya kumsimamisha zaid ya mkuu wa shule kuwapa amri walinzi wa getini wasiniruhusu
Msaada plz
Natanguliza shukran
Mbona wamekauka wataalamu.Wakuu habari zenu? Natumai muwazima.
Naomba kufahamishwa ama kupatiwa ufumbuzi katika sheria yetu ya Tanzania ya Kazi, ajira na Mahusiano kazini kipengele kinachohusu LEAVE ALLOWANCE.
Nimekisoma lakini bado sijapata majibu kamimi nami si mtaalamu wa uchambuzi wa sheria. Kitu ambacho kinanitatiza ni je NI LAZIMA AU WAJIBU WA MWAJIRI KUMLIPA MWAJIRIWA LEAVE ALLOWANCE ambayo ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja au ni option yake mwajiri kuamua kulipa au kutolipa? Na kama ni lazima na hajalipa ni nini hukumu yake?
Naomba kuwasilisha.
Wataalamu wamekula buyu.Mbona wamekauka wataalamu.
Lakini kwa ushauri ukigoogle sheria za kazi na mahusiano kazini 2004,utapata yote hayo, ndo mchango wanguWakuu habari zenu? Natumai muwazima.
Naomba kufahamishwa ama kupatiwa ufumbuzi katika sheria yetu ya Tanzania ya Kazi, ajira na Mahusiano kazini kipengele kinachohusu LEAVE ALLOWANCE.
Nimekisoma lakini bado sijapata majibu kamimi nami si mtaalamu wa uchambuzi wa sheria. Kitu ambacho kinanitatiza ni je NI LAZIMA AU WAJIBU WA MWAJIRI KUMLIPA MWAJIRIWA LEAVE ALLOWANCE ambayo ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja au ni option yake mwajiri kuamua kulipa au kutolipa? Na kama ni lazima na hajalipa ni nini hukumu yake?
Naomba kuwasilisha.
Nimeomba ufafanuzi. Sheria nimeisoma mkuuLakini kwa ushauri ukigoogle sheria za kazi na mahusiano kazini 2004,utapata yote hayo, ndo mchango wangu
Kiukweli likizo ni haki yako Kama ulivyosema mwenyewe ipo kisheria, kuna bwana anaitwa Petro Mselewa yumo humu jf anazijua hizo, nashangaa kakauka tu.Nimeomba ufafanuzi. Sheria nimeisoma mkuu
Likizo ni haki yangu sawa. Je, leave allowance nayo ni haki yangu?Kiukweli likizo ni haki yako Kama ulivyosema mwenyewe ipo kisheria, kuna bwana anaitwa Petro Mselewa yumo humu jf anazijua hizo, nashangaa kakauka tu.
Ndio ni haki yako pia ni mshahara wa mwezi mmoja.Likizo ni haki yangu sawa. Je, leave allowance nayo ni haki yangu?
Mkuu mm nimefanya kazi kwenye campun kwa mda wa miaka mitano na sasa iv mwajir wangu anataka kunipatia mkataba vp kuusu malipo yangu nyuma endapo nitaisi?au sistahili kupewa chochote uli tuanze upyaPamoja sana chief
Asante sana. Kwa hiyo ndani ya miezi 12 ya mwaka nitakuwa na mishahara 13 au unamaanisha nikiwa leave ule mshahara wa mwezi huo ndio watakaopokea wenzangu ambao wapo kazini nami ndio huo huo?Mwajiri anawajibika kukuruhusu kwenda likizo ya siku 28 kila mwaka na anapaswa kukulipa mshahara wakati wa likizo hiyo.
Mwajiri halazimishwi na Sheria kukulipa posho ya likzo labda km ni sehemu ya makubaliano kwenye Mkataba wenu au Mkataba wa Hari bora km upo..
Watumishi wa Umma hupewa hela ya nauli kwenda likizo makwao mara moja kwa miaka miwili. Hii ni kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu ktk Utumishi Umma. Wengine hususani kwenye Taasisi hulipwa nauli kama hii kila likizo.
Mkuu mimi nimefanya kazi kwenye campuni kwa miaka mitano na sasa wanataka kunipatia mkataba vp nastahili kulipwa malipo ya nyuma au sistahili kupewa chochote