Massawe909
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 310
- 469
Nipo dar mkuuUpo mkoa gani chief?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo dar mkuuUpo mkoa gani chief?
Nipo dar mkuu
Nipo dar mkuu
Ok thanks mkuu ngoja nilifanyie hilo kaziCha kufanya hapo fanya ufuatiliaji kimaandishi (kwa barua) mkuu, andika barua ya ku-querry suala lako hilo, ielekeze barua kwenda PPF ambako ndio mfuko wako, kisha mwisho wa barua wacopy SSRA (social security regulatory authority), na mwajiri wako pia na Ofisi ya Idara ya Kazi (mkoa wa Dar es Salaam); (nakala uwapelekee hawa uliowacopy)
Ok thanks mkuu ngoja nilifanyie hilo kazi
...done.Tafuta mwanasheria ufungue kesi kwenye tume ya usuluhishi wa migogoro ya wafanyakazi,
Mkuu asante kwa juhudi zako za kutuelimisha_Mungu akulipe.Upo mkoa gani chief?
...barua unapewa baada ya kufanya nao kazi kwa zaidi ya week,..say kwenye tar 9Mkuu asante kwa juhudi zako za kutuelimisha_Mungu akulipe.
Nina swali,
....unafanya kazi kampuni binafsi na kampuni inatoa mkataba wa mwaka mmoja mmoja,..say_umepewa mkataba wa March 2017 to April 2018...mkataba umesema in case mmoja wenu hataki kuendeleza basi one month notice na in case of redundancy ni 2 month notice.
.....Mwajiri anakuja kupa barua ya kusema hata renew mkataba Mwezi wa 5 ,2018...stating the reason kuwa wanafanya restructuring.
.....hapo kisheria imekaaje..?
Mkuu asante kwa juhudi zako za kutuelimisha_Mungu akulipe.
Nina swali,
....unafanya kazi kampuni binafsi na kampuni inatoa mkataba wa mwaka mmoja mmoja,..say_umepewa mkataba wa March 2017 to April 2018...mkataba umesema in case mmoja wenu hataki kuendeleza basi one month notice na in case of redundancy ni 2 month notice.
.....Mwajiri anakuja kupa barua ya kusema hata renew mkataba Mwezi wa 5 ,2018...stating the reason kuwa wanafanya restructuring.
.....hapo kisheria imekaaje..?
Kuna mtu tena anatatizo la masuala ya kaz?
0767 301369...niunge hilo group mkuuLipo group whatsapp kama unahitaj weka no kwa ajl ya msaada au ushaur kisheria
Kwa hiyo kwa maana nyingine mwajiri anataka kufanya upunguzaji wa wafanyakazi kutokana na mahitaji mapya ya uendeshaji (termination of employment based on grounds of operational requirements). Upunguzaji wa wafanyakazi kwa reason kama hii sio kosa kisheria ilimradi mwajiri afuate utaratibu uliowekwa na kanuni za sheria ktk zoezi hili.
Taratibu nnazosema hapa ni kama;
1. Kutoa taarifa mapema iwezekanavyo kuhusu kusudio lake la kupunguza wafanyakazi (nadhani kwenye mkataba wenu wa ajira kuna 'clause' itakuwa inazungumzia muda wa notisi kama mmojawapo kati ya mwajiri au mwajiri anataka kuterminate mkataba). Lakini kwa case hii isiwe notisi ya chini ya siku angalau 30. Lengo la kutoa taarifa ya kusudio hilo mapema ni ili kutoa nafasi kwa watakaoathirika na zoezi hilo wapate muda wa kuchambua na kuchukua hatua stahiki za kisheria (kama kuna ulazima), kwa mfano kuweka zuio mahakamani n.k
2. Kuainisha vigezo vitakavyotumika katika zoezi la upunguzwaji unaokusudiwa....kwamba je vitatumika vigezo gani ktk kuselect watakaopunguzwa; mfano ufanisi kazini, waliokaribia umri wa kustaafu, walioajiriwa hivi karibuni ndo waanze kupunguzwa (Last In First Out), au walioajiriwa zamani zaidi ndio waanze kupunguzwa (First In First Out), n.k
3. Kuainisha mafao watakayolipwa hao wanaotarajiwa kupunguzwa....hiyo notisi lazima iainishe mafao ya kila mmoja ili hao watakaoathirika na zoezi hilo waone kama kuna kitu ambacho ni stahiki yake hakijaingizwa ktk mfumo wa ulipwaji mafao husika basi waweze kufanya consultation na mwajiri mapema ili kuepusha usumbufu pindi tarehe yenyewe ya kupunguzwa kazini ikifika.
NB; Kama kuna chama cha wafanyakazi chenye wanachama hapo katika eneo la mwajiri, lazima kishirikishwe katika hatua zote za zoezi hili.
Kwa marejeo zaidi unaweza kuona kifungu cha 38 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Namba 6 ya mwaka 2004; na pia kifungu cha 23 cha Kanuni za Sheria hii niliyoitaja Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini (Kanuni za Utendaji Bora) ama "The Code of Good Practice" za mwaka 2007.
Mnaweza kwenda kufungua shauri Tume ya Usuluhishi na kuomba kuwekwa zuio wakati shauri lenu likiendelea kupatiwa ufumbuzi chief, mkoa wowote uliopo ulizia tu zilipo ofisi za Tume ya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Kikazi (yaani CMA) ili mfungue shauri hapo mkuu.