deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 419
Wewe kweli umeiva katika tasnia hii hongera sana.
Pamoja sana mtumishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli umeiva katika tasnia hii hongera sana.
Mambo vp deonova Ahsante uzi wako Mkuu umetupa Maarifa katika tasnia utumishi..Pamoja sana mtumishi
Nimeipenda hii..tunashukuru sana kwa hii elim uliyotupatia....ninahitaji pia msaada juu ya sheria za kazi . mim ni mfanya kaz wa kampuni moja hvi la binafsi nina mieZ 8 kazin mpka sas.. Kweny hii kapuni kuna vitu vinaenda tofautkdgo kwa mfano mpka sas tunakatwa pesa za mofukovya hifadh ya jamii ikiwa hatuna kadi. Lakin pia mfanya kaz anaweza kufukuzwa kaz bila kupewa barua . mf. Verbal warning..warning letter..hzo process hazifatw vip ikitokea hvi mfanyakaz anatakiwa kufanyaj ili apate msaada.Villky_J,
hii nimetoa kwenye nyaraka zangu ambazo nimezisave kwenye pc kwa ajili ya kazi na hizi tunaandaa kutokana na Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya Mwaka 2004 na Sheria ya Taasisi za Ajira Namba 7 ya Mwaka 2004 na kutokana na maazimio mbalimbali ya ILO na miongozo ya wizara.
in short mimi hizi ndo kazi zangu za kila siku chief kama Labour Officer (Ofisa wa Kazi)
ulikua kibarua au umeajiriwa, pia ulipopata hiyo ajali kazini ambayo imekupa ulemavu je ulipewa stahiki zako unazopaswa kupewa.Jamani nimaomba msaada wa email ya Tanzania labour law
Nilikuwa kibarua na stahiki bado sijapata mwaka 2016 mwishon nilipewa form nipeleke kwa daktar aijaze kwa ajili ya maandalizi ya malipo lakini ikaonekana siwez kulipwa maana nilikuwa sijamaliza matibabu nilikuwa sijafanyiwa operation ya kutoa chuma tarehe 30/11/2017 ndio nilifanyiwa operation ya kutoa chuma ni baadhi ya pcha za operation na mfupa ulivokuwa umevunjikaulikua kibarua au umeajiriwa, pia ulipopata hiyo ajali kazini ambayo imekupa ulemavu je ulipewa stahiki zako unazopaswa kupewa.
Uwanja mzuri wa maarifa.Nashukuti sana kwa haya maelezo naomba msaada wa email ya Tanzania labour law
Pole sana mkuu aisee Mungu akusaidie upate haki yako mtafute huyu mwanasheria nguliwa sheria za kazi deonova atakusaidia nini cha kufanya. Very sadNilikuwa kibarua na stahiki bado sijapata mwaka 2016 mwishon nilipewa form nipeleke kwa daktar aijaze kwa ajili ya maandalizi ya malipo lakini ikaonekana siwez kulipwa maana nilikuwa sijamaliza matibabu nilikuwa sijafanyiwa operation ya kutoa chuma tarehe 30/11/2017 ndio nilifanyiwa operation ya kutoa chuma ni baadhi ya pcha za operation na mfupa ulivokuwa umevunjikaView attachment 828054View attachment 828056
Mkuu unapotosha,soma sheria mpya ya mifuko ya jamii ujue ni nani wanastahili kupata fao la kujitoa na vile vile swali lake nadhani alitaka kujua;Je mwajiri anatoa mafao ukitoa notisi ya kuacha kazi?Sio kweli, kuacha kazi hakuna uhusiano wowote na haki zako za mafao kuathirika, kila kazi ni mkataba, upande mmoja unaweza kuuvunja mkataba usika kwa sababu zake maalumu, na ikiwa vyema mbele ya macho ya sheria basi upande huo uanze kufuatilia mafao na kupewa stahiki zake za pale mafao yalipofikia, tena hii mara nyingi huitwa fao la kujitoa.
Mheshimiwa deonova naomba msaada mimi nilikuwa nafanya kazi katika shirika la umeme Tanesco lakini nilikuwa sijaajiriwa mwaka 2015/11 nilipata ajali ya kudondoka na nguzo ya umeme na kupelekea kunipa ulemavu wa kuvunjika mguu na kupata majeraha mbali mbali nilifanikiwa kupata matibabu na mwaka 2017/11 nilifanyiwa iperation ya 4 ya katika mguu wangu ilikuwa ni kutoa chuma mwezi wa 6 mwaka huu nilipewa taarifa za kusitishwa mkataba wangu wa kazi kutokana na kukosa cheti cha form four lakini na wakati huo nipo katika masomo ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mwaka huu na daktar alinipa maelekezo kuwa naweza kufanya kaz nyepes na sina uwezo wa kubeba kitu chochote kinachozidi kg 10 naomba msaada wako
Bro naomba kama imawezekana ningekupata whatsaap tuwez kuteta zaidDah pole sana mkuu, nimeangalia picha nikaogopa, hebu njoo private tutete ili niweze kujua wapi ntakuelekeza uanzie chief.
No.yangu 0759361041Bro naomba kama imawezekana ningekupata whatsaap tuwez kuteta zaid
Chief deonova nakuomba whatsaap plzDah pole sana mkuu, nimeangalia picha nikaogopa, hebu njoo private tutete ili niweze kujua wapi ntakuelekeza uanzie chief.