Mkuu deonova Annual Leave au tuseme likizo ya mwaka inastahili malipo? Inakuwa included kwenye zile zinazoitwa paid leave?
Ni ule mshahara unaolipwa ukiwa haupo kazini. Ni mishahara 12 tuu.Asante sana. Kwa hiyo ndani ya miezi 12 ya mwaka nitakuwa na mishahara 13 au unamaanisha nikiwa leave ule mshahara wa mwezi huo ndio watakaopokea wenzangu ambao wapo kazini nami ndio huo huo?
Asante mkuuNi ule mshahara unaolipwa ukiwa haupo kazini. Ni mishahara 12 tuu.
KWA nyongeza. ukiwa likizo. gafla mwajili akasitisha likizo yako. basi atakulipa mshahala wako basic. sio take home.Mwajiri anawajibika kukuruhusu kwenda likizo ya siku 28 kila mwaka na anapaswa kukulipa mshahara wakati wa likizo hiyo.
Mwajiri halazimishwi na Sheria kukulipa posho ya likzo labda km ni sehemu ya makubaliano kwenye Mkataba wenu au Mkataba wa Hari bora km upo..
Watumishi wa Umma hupewa hela ya nauli kwenda likizo makwao mara moja kwa miaka miwili. Hii ni kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu ktk Utumishi Umma. Wengine hususani kwenye Taasisi hulipwa nauli kama hii kila likizo.
deonova naomba ufafanuzi wa iwapo mfanyakazi atahamishwa kituo, mfano kutoka Mvomero kwenda Mpwapwa, mahesabu ya uhamisho wa mizigo na familia yanapigwaje kwa huo umbali!
Stahiki nyingine anazopaswa kupewa ni zipi pia?
Kwenye mapambano uwoga weka pembeniHicho ndo kimenikwamisha mkuu kwani nimeogopa kuwafuata isije kuwa bado wako ndani ya muda halafu wakanigeuzia kibao kuwa nawapangia cha kufanya, hebu nisaidie kipengere cha muda wa wao kunijibu Mara baada ya mm kuwa nimewajb
Sekta binafsi mkuu.Mtumishi wa umma ama sekta binafsi mkuu?
Sekta binafsi mkuu.
Hata mimiSamahani,mimi mbona niki download sheria ya kazi kuja kufunguka inasomeka kikorea cjui kijapani nasio English ili nielewe. Msaada jaman
Kwa kweli wafanyakazi wananyanyaswa sana, nipo kama inspector upande Wa client, malalamiko kutoka kwa Labourers Wa upande Wa contractor ni mengi sana, Labourer officers saidieni watz
Sheria inasemaje kuhusu mtumishi wa umma asipokuwapo kazini bila taarifa kwa siku 3
Natanguliza shukran
Ongezea stahili za kuachishwa kazi kwa Aina zote za Ajira. Mkataba,kazi maalum na Ajira ya kudumu