Mkuu samahani kwenye ufunguzi wa shauri kwenye hiyo tume ya usuluhishi wanaohitajika kufungua shauri anaweza pia kuwa mtu mmoja na akafanikiwa kwa ajili ya wafanyakazi wengine au mpaka waende wawakilishi wa wafanyakazi..???
Anaweza kuwa mmoja akawakilisha madai ya watu wote cha msingi wataanisha kila jina la madai yake na kupata jumla ya madai yote