careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Ndefu dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HABARI WAKUU,
NAOMBA KUULIZA
Ni haki/stahiki gani napaswa kupata kutoka kwa mwajiri wangu endapo endapo amenipunguza kazini?
Niliajiriwa rasmi mwezi wa 10 mwaka jana 2019, baada ya miezi mitatu yaani mwezi wa 01 mwaka 2020 nikabadiliishiwa kitengo kutoka kitengo "A" kwenda kitengo "B" ambacho mshahara wake kidogo upo vizuri kutokana na utendaji wangu wa kazi.
Ila wakati nabadilishiwa kitengo sikupewa mkataba badala yake nikapewa "barua ya promosheni) ambayo inaonesha allowances na kiwango cha mshahara mpya (basic salary), nilipohoji kuhusu mkataba mpya nikaambiwa kuwa, nitatumia mkataba ule niliopewa awali, ila mshahara na allowances mpya ndio vimeandikwa kwenye barua ya promosheni, mpaka ukiisha mkataba wa awali ndio nitapewa mpya ambao utajumuisha yote kwa pamoja katika mkataba huo mpya.
Sasa siku ya leo tumepewa barua za wito wa kwenda kukutana kwenye kikao cha pamoja na mwajiri kwaajili ya kujadili kuhusu kupunguzwa kwa wafanyakazi.
Jumla ya muda niliofanyakazi tangu niajiriwe ni miezi 10,
Na Jumla ya muda ambao nimefanyakazi kwenye hiki kitengo nilichohamishiwa ni miezi 8 tu, na sikupewa mkataba katika hiki kitengo isipokuwa barua ya promotion tu.
Je, kuna stahiki gani ambazo natakiwa kupewa na mwajiri wangu kama mfanyakazi maana anapunguza wafanyakazi kwa madai kuwa kampuni inajiendesha kwa hasara hivyo ameona ni bora kupunguza wafanyakazi wake nikiwemo na mimi.
Naombeni ushauri na majibu .
Ahsanteni.
Hoja hii nitaijibu kwa kufuata Sheria 4 muhimu zinazohusu ajira
1. Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004
2. Kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007
3. Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013
4. Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018
Sasa twende kwenye swali husika ( kupunguzwa kazini) au kwa kingereza tunaita retrenchment hii kisheria ipo hivi
Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 38 mwajiri kama anataka kupunguza wafanyakazi anatakiwa kufata taratibu maana yake zoezi la kupunguza wafanyakazi lina taratibu zake ikiwa 1. kutoa sababu 2. kutoa notes 3. kusema atatumia mbinu gani kupunguza 4. je amefanya juhudi gani kuondoa hali hiyo 5. lazima atatakiwa kuwazingatia tena pale hali ikija kukaa sawa
Sasa nini stahiki za mfanyakazi pale anapoondelewa kazini huwa kama zifuatazo hii ni kwa mjibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 44
1. Utatakiwa kulipwa siku ulizofanya kazi kwa mwezi husika kabla ya ilo zoezi la kupunguzwa
2. Notes ya siku 28 hii inategemea taarifa imetolewaje na muda uliotolewa taarifa hiyo
3. likizo kwa mujibu wako unasema umetumikia miezi 10 maana yake utapigiwa hesabu hivi 2.3*10=23 leave day itazidishwa kwa mshahara wako wa siku ndipo utajua unastahili bei gani
4. kiinua mgongo hapa kwako hutopata kwanini? Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 42 kinasema angalau uwe umetumikia mwaka mmoja kwenye hiyo kampuni wewe umetumikia miezi 10 hutopata labda kwa busara tu za muajiri wako na ikitokea umepata itakuwa hivi = mshahara wa siku mara 7 kwa kuzidisha miaka uliyotumikia mfano mshahara wa siku ni 10,000*7*1 maana yake ni 70,000 kiinua mgongo
5. Cheti cha utumishi
Note: Angalizo jumla ya malipo hayo yote kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mwaka 2015 kile kipengele cha payee lazima yatakatwa kodi ila sahivi itaanzia 271,000 na viwango vimebadilika kidogo tofauti na zamani
Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013 nimweweka hii ukute katika sekta uliyopo ulikuwa unalipwa chini ya kiwango cha mshahara kilichoolekezwa na serikali hivyo unaweza kudai mapunjo yako kwa mujibu wa kanuni za ajira za mwaka 2007
Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 hii itakusaidia baada ya mchakato wote utachukua iyo barua kwenda kufungua madai yako ila sasa kama wewe ni una taaluma utapewa asilimia 33% ya madai yako au ngojea ufike miaka 55
kama utakuwa na kitu hujaelewa utauliza tena au wanajamvi watakosoa pale nikipotereza ili upate maarifa zaidi
ipi mkuu niione ili niijibie
Mkuu na kesi yangu hapo juu naomba unisaidie sisi wafanyakazi wa Kiribo tumepunguzwa tokea mwezi wa sita kutokana na mkataba wa kampuni yetu na mgodi kuisha ila mpaka wa leo hatujapata stahiki zetu na sababu bosi wa kampuni anadai hajalipwa pesa na Mgodi na pesa zenyewe Ni za mwezi mmoja tu ndo anazodai na kwa maelezo ya Mgodi wanasema wanaidai kampuni Ela nyingi ndo maana wakazishikilia hizo Ela za mwezi mmoja Sasa sisi Kama wafanyakazi Ni hatua gani za haraka za kuchukua ili stahiki zetu ziweze kulipwa na boss wetu...???Hoja hii nitaijibu kwa kufuata Sheria 4 muhimu zinazohusu ajira
1. Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004
2. Kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007
3. Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013
4. Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018
Sasa twende kwenye swali husika ( kupunguzwa kazini) au kwa kingereza tunaita retrenchment hii kisheria ipo hivi
Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 38 mwajiri kama anataka kupunguza wafanyakazi anatakiwa kufata taratibu maana yake zoezi la kupunguza wafanyakazi lina taratibu zake ikiwa 1. kutoa sababu 2. kutoa notes 3. kusema atatumia mbinu gani kupunguza 4. je amefanya juhudi gani kuondoa hali hiyo 5. lazima atatakiwa kuwazingatia tena pale hali ikija kukaa sawa
Sasa nini stahiki za mfanyakazi pale anapoondelewa kazini huwa kama zifuatazo hii ni kwa mjibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 44
1. Utatakiwa kulipwa siku ulizofanya kazi kwa mwezi husika kabla ya ilo zoezi la kupunguzwa
2. Notes ya siku 28 hii inategemea taarifa imetolewaje na muda uliotolewa taarifa hiyo
3. likizo kwa mujibu wako unasema umetumikia miezi 10 maana yake utapigiwa hesabu hivi 2.3*10=23 leave day itazidishwa kwa mshahara wako wa siku ndipo utajua unastahili bei gani
4. kiinua mgongo hapa kwako hutopata kwanini? Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 42 kinasema angalau uwe umetumikia mwaka mmoja kwenye hiyo kampuni wewe umetumikia miezi 10 hutopata labda kwa busara tu za muajiri wako na ikitokea umepata itakuwa hivi = mshahara wa siku mara 7 kwa kuzidisha miaka uliyotumikia mfano mshahara wa siku ni 10,000*7*1 maana yake ni 70,000 kiinua mgongo
5. Cheti cha utumishi
Note: Angalizo jumla ya malipo hayo yote kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mwaka 2015 kile kipengele cha payee lazima yatakatwa kodi ila sahivi itaanzia 271,000 na viwango vimebadilika kidogo tofauti na zamani
Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013 nimweweka hii ukute katika sekta uliyopo ulikuwa unalipwa chini ya kiwango cha mshahara kilichoolekezwa na serikali hivyo unaweza kudai mapunjo yako kwa mujibu wa kanuni za ajira za mwaka 2007
Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 hii itakusaidia baada ya mchakato wote utachukua iyo barua kwenda kufungua madai yako ila sasa kama wewe ni una taaluma utapewa asilimia 33% ya madai yako au ngojea ufike miaka 55
kama utakuwa na kitu hujaelewa utauliza tena au wanajamvi watakosoa pale nikipotereza ili upate maarifa zaidi
Scenario ya case kama hii.
...unafanya interview then unaambiwa umefaulu na wanakupa offer letter.
Ndani ya offer letter inaandikwa umechanguliwa kujiunga na kampuni xxx,..ila utakuwa chini ya uangalizi(profanation) kwa miezi mi3 inaweza ongezwa mpaka miezi 6..inaandikwa kipindi cha probation utakuwa unafanyiwa performance review kila week na supervisor wako.
Ndani ya mwezi huo huo (kama week 3 hivi) unashtukia unapewa barua ya kuachishwa kazi.Hakuna siku yoyote umewahi itwa au fanyiwa performancy reviews au kuonywa kwa kosa lolote.
Unajaribu kuwauliza sababu ya wao kukusimamisha kazi-wanasema uko kwenye probation period hivyo mwajiri anaweza kukufukuza wakati wowote akiamua na sheria inamruhusu.
(Baadaye unagundua amempata mfanyakazi mwingine aliyekubali kulipwa mshahara mdogo kuliko mliokubaliana ndio maana kaamua kukufukuza)
Hii imekaaje kwa jicho la sheria za kazi ?!
Mkuu na kesi yangu hapo juu naomba unisaidie sisi wafanyakazi wa Kiribo tumepunguzwa tokea mwezi wa sita kutokana na mkataba wa kampuni yetu na mgodi kuisha ila mpaka wa leo hatujapata stahiki zetu na sababu bosi wa kampuni anadai hajalipwa pesa na Mgodi na pesa zenyewe Ni za mwezi mmoja tu ndo anazodai na kwa maelezo ya Mgodi wanasema wanaidai kampuni Ela nyingi ndo maana wakazishikilia hizo Ela za mwezi mmoja Sasa sisi Kama wafanyakazi Ni hatua gani za haraka za kuchukua ili stahiki zetu ziweze kulipwa na boss wetu...???
Scenario ya case kama hii.
...unafanya interview then unaambiwa umefaulu na wanakupa offer letter.
Ndani ya offer letter inaandikwa umechanguliwa kujiunga na kampuni xxx,..ila utakuwa chini ya uangalizi(profanation) kwa miezi mi3 inaweza ongezwa mpaka miezi 6..inaandikwa kipindi cha probation utakuwa unafanyiwa performance review kila week na supervisor wako.
Ndani ya mwezi huo huo (kama week 3 hivi) unashtukia unapewa barua ya kuachishwa kazi.Hakuna siku yoyote umewahi itwa au fanyiwa performancy reviews au kuonywa kwa kosa lolote.
Unajaribu kuwauliza sababu ya wao kukusimamisha kazi-wanasema uko kwenye probation period hivyo mwajiri anaweza kukufukuza wakati wowote akiamua na sheria inamruhusu.
(Baadaye unagundua amempata mfanyakazi mwingine aliyekubali kulipwa mshahara mdogo kuliko mliokubaliana ndio maana kaamua kukufukuza)
Hii imekaaje kwa jicho la sheria za kazi ?!
Mkuu samahani hapo kwenye CMA umeniacha kidogo unaweza kunipa ufafanuzi kidogo niweze kuelewa.....????Hii naza
Hii kitu muipeleke CMA iliyopokaribu yenu mfungue shauri alafu kwakuwa mnachodai ni haki kabisa muajiri atapewa siku za kukamilisha malipo hayo kama atashindwa kuna amri ya mahakama itakayotumika ili mpate haki yenu
Mkuu samahani hapo kwenye CMA umeniacha kidogo unaweza kunipa ufafanuzi kidogo niweze kuelewa.....????
Mkuu samahani kwenye ufunguzi wa shauri kwenye hiyo tume ya usuluhishi wanaohitajika kufungua shauri anaweza pia kuwa mtu mmoja na akafanikiwa kwa ajili ya wafanyakazi wengine au mpaka waende wawakilishi wa wafanyakazi..???iyo tunaita tume ya usuluhishi au mara nyingi wanasemaga mahakama ya kazi yani masuala yote yanayohusu ajira huwa yanapelekwa hapo pia unaweza kwenda ofisi za idara ya kazi za mkoa au wilaya husika napo hutatua mambo kama haya
Unaandika yote hayo unalipwa?Hoja hii nitaijibu kwa kufuata Sheria 4 muhimu zinazohusu ajira
1. Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004
2. Kanuni za ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2007
3. Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013
4. Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018
Sasa twende kwenye swali husika ( kupunguzwa kazini) au kwa kingereza tunaita retrenchment hii kisheria ipo hivi
Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 38 mwajiri kama anataka kupunguza wafanyakazi anatakiwa kufata taratibu maana yake zoezi la kupunguza wafanyakazi lina taratibu zake ikiwa 1. kutoa sababu 2. kutoa notes 3. kusema atatumia mbinu gani kupunguza 4. je amefanya juhudi gani kuondoa hali hiyo 5. lazima atatakiwa kuwazingatia tena pale hali ikija kukaa sawa
Sasa nini stahiki za mfanyakazi pale anapoondelewa kazini huwa kama zifuatazo hii ni kwa mjibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 44
1. Utatakiwa kulipwa siku ulizofanya kazi kwa mwezi husika kabla ya ilo zoezi la kupunguzwa
2. Notes ya siku 28 hii inategemea taarifa imetolewaje na muda uliotolewa taarifa hiyo
3. likizo kwa mujibu wako unasema umetumikia miezi 10 maana yake utapigiwa hesabu hivi 2.3*10=23 leave day itazidishwa kwa mshahara wako wa siku ndipo utajua unastahili bei gani
4. kiinua mgongo hapa kwako hutopata kwanini? Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 42 kinasema angalau uwe umetumikia mwaka mmoja kwenye hiyo kampuni wewe umetumikia miezi 10 hutopata labda kwa busara tu za muajiri wako na ikitokea umepata itakuwa hivi = mshahara wa siku mara 7 kwa kuzidisha miaka uliyotumikia mfano mshahara wa siku ni 10,000*7*1 maana yake ni 70,000 kiinua mgongo
5. Cheti cha utumishi
Note: Angalizo jumla ya malipo hayo yote kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mwaka 2015 kile kipengele cha payee lazima yatakatwa kodi ila sahivi itaanzia 271,000 na viwango vimebadilika kidogo tofauti na zamani
Agizo la kima cha chini ya mshahara ya mwaka 2013 nimweweka hii ukute katika sekta uliyopo ulikuwa unalipwa chini ya kiwango cha mshahara kilichoolekezwa na serikali hivyo unaweza kudai mapunjo yako kwa mujibu wa kanuni za ajira za mwaka 2007
Sheria ya hifadhi ya jamii iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 hii itakusaidia baada ya mchakato wote utachukua iyo barua kwenda kufungua madai yako ila sasa kama wewe ni una taaluma utapewa asilimia 33% ya madai yako au ngojea ufike miaka 55
kama utakuwa na kitu hujaelewa utauliza tena au wanajamvi watakosoa pale nikipotereza ili upate maarifa zaidi
Mtu anajitolea halipwi hata senti wewe unaanza majungu watu weusi mna roho za ajabu sana. Wewe hajakuomba msaada wako unaumia nini?Unaandika yote hayo unalipwa?
Acha mchezo na kazi za watu wewe!
Watu wanakaa darasani miaka sita halafu wewe unaandika andika tu mitandaoni!
Hatukwenda shule ili tuje kuandika andika hovyo whatsapp.Mtu anajitolea halipwi hata senti wewe unaanza majungu watu weusi mna roho za ajabu sana.
Wewe hajakuomba msaada wako unaumia nini?
Akili yako sikutofautishi na wale wazee wa kijijini ambao wanapelekewa maendeleo ya umeme na maji halafu wanapinga na kuandamana.
Elimika
Lengo la elimu sio kufanya uchuuzi tu na kupata senti za kula.Hatukwenda shule ili tuje kuandika andika hovyo whatsapp.
Kama una shida fika kwa wakili ULIPE NA ADA!
Unaandika yote hayo unalipwa?
Acha mchezo na kazi za watu wewe!
Watu wanakaa darasani miaka sita halafu wewe unaandika andika tu mitandaoni!
Kwani unafikiri shule ni ya sheria pekee.Hatukwenda shule ili tuje kuandika andika hovyo whatsapp.
Kama una shida fika kwa wakili ULIPE NA ADA!
Lengo la elimu sio kufanya uchuuzi tu na kupata senti za kula.
Lengo lingine ni kusaidia jamii.
Wewe kama una njaa nenda kasimame nje ya mahakama au Nida uwagongee watu mihuri ukusanye elfu tano tano
Achana naye huyo limbukeni kama inamuuma aufute uzi au aifungie JFKwani unafikiri shule ni ya sheria pekee.
Wewe utakuwa mnyakyusa mshamba sana.
Pathetic !
YeahAchana naye huyo limbukeni kama inamuuma aufute uzi au aifungie JF