Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Waungwana msaidieni hata pakuanzia
Anaomba msaada wa kisheria
Amefanya kazi (private company) hizi za wahindi aliogopa kudai haki yake kwa kuhofia kufukuzwa kazi
20220707_093946.jpg
 
Habar ndugu naomba unipe mawasiliano nikuhadisie kisa changu ili unipe ushauri maaana mi changamoto na mwajiri wangu
 
Habari wakubwa.
1. Naomba kuuliza mchunguzi wa kesi anaweza kuwa shahidi mahakamani?
2. Kwenye kesi ya madai hakimu anaweza kuruhusu mashahidi wawili kuingia kwa wakati mmja na kutoa ushahidi, au anapaswa kuingia shahidi mmjammja.

Asante
 
Habarini za leo, nimepata barua ikiniomba kutoa maelezo dhidi ya tuhuma ya kuanzisha mazungumzo pembeni wakati mkuu wa mkoa akitoa hotuba, kiukweli sikuwa mimi, walio kuwa nyuma yangu ndio walikuwa wakizungumza, hapa najaribu kufikiria jinsi ya kutoa maelezo,

Kipindi mkuu akitoa hotuba nilipata sms mbaya nikasogea pembeni ili niisome vizuri, baada ya kuisoma ikanivuruga akili nikiwa sijui cha kufanya mkuu akanisonta na kunitaka mijitambulishe nilifanya hivyo bila kuelewa chochote , na baadaye akaniuliza kwanini unaanzisha kikao huko , kiukweli mimi sikuwa nazungumza bali kulikuwa na watu nyuma yangu ambao sikuwa tambua, na waliondoka kipindi hahojiwa wakajichanganya na wengine wakati mimi mawazo yakiwa mbali na nisijue cha kufanya

Naomba msaada wa maelezo pls
 
Sasa unaogopa nini? Maelezo uliyoyaweka hapa ndiyo uyaandike kwa Mamlaka iliyokuandikia kuwa utoe maelezo.
 
Habari wakubwa.
1. Naomba kuuliza mchunguzi wa kesi anaweza kuwa shahidi mahakamani?
2. Kwenye kesi ya madai hakimu anaweza kuruhusu mashahidi wawili kuingia kwa wakati mmja na kutoa ushahidi, au anapaswa kuingia shahidi mmjammja.

Asante
Majibu;
1. Mchunguzi au Mpelelezi wa kesi anaruhusiwa kuwa shahidi

2. Kwenye kesi za madai shahidi mmoja ndiyo anaruhusiwa kuingia kwa wakati ili kuepuka ushahidi wa kuigiza/ kupanga
 
Good morning Team,
Samahani naomba kuuliza. Mfano umeresign tar 15 kwa mwezi mmoja, tar 16 ya mwez ijao ndio unakuwa mwisho wa kuingia kazin, mwisho wa mwezi wa tarehe uliyofanya resignation ukalipwa salary. Notes yako ya mwez ikaisha tar hiyo 16 je mwajili anapaswa kukulipa? Kama anapaswa akikataa kukulipa ni hatua gan zakuchukua?
 
Wewe elimu yako ni kiasi gani? Mbona unashindwa ku frame swali? Swali huwa ni sentensi moja inayoanza na her ufisadi kubwa na kuisha na alama ya ya kiulizo!!
 
Good morning Team,
Samahani naomba kuuliza. Mfano umeresign tar 15 kwa mwezi mmoja, tar 16 ya mwez ijao ndio unakuwa mwisho wa kuingia kazin, mwisho wa mwezi wa tarehe uliyofanya resignation ukalipwa salary. Notes yako ya mwez ikaisha tar hiyo 16 je mwajili anapaswa kukulipa? Kama anapaswa akikataa kukulipa ni hatua gan zakuchukua?
ukiresign,wewe ndio unapaswa kumlipa mwajiri hela ya notisi ya mwezi mmoja au wewe kufanya kazi kwa muda wa mwezi mmoja hadi tarehe unayotegemea kuacha kazi itakapofika,malipo utakayopewa ni mshahara wa siku/mwezi ambao utakuwa umefanyakazi tu na entitlements zingine ambazo utakuwa unastahili kisheria kama zitakuwepo,akikataa kukulipa hiyo pesa unaweza kufungua kesi ya breach of contract CMA baada ya mkataba wako wa ajira kufungwa rasmi na mwajiri.
 
Nimepewa kesi ya wizi wa kuaminiwa na boss wangu hii ni baada ya migogoro ya kikazi na baada ya mm kuwa nafanya kazi Kwa muda mrefu bila mkataba na nikaomba kuacha kazi

pesa ninazo tuhumiwa nazo sikupewa kama ilivyoelezwa na hakuna sehem au ushahidi wowote kwamba pesa hizo nimezipokea na sikuwa nafaham lolote , siku nimefikishwa police maelezo yaliandikwa na police Kwa matwaka yake yeye Mimi nililazimishwa kuweka sahihi na sikuwa na namna kama mjuavo police wetu, .. nilipewa na nasubiri kama kuna kwenda mahakamani ama vp,

Naombeni kama kuna msaada hapa..
Tajiri anatumia pesa kuninyanyasa na police kwani nafaham mambo mengi ya office na ananilazimisha kufanya kazi , kikubwa nilikataa kuendelea na kazi
Pole sana,kama unajua haujafanya kitu chochote kibaya na hakuna ushahidi wowote dhidi yako basi subiri tu kufika mahakamani,maelezo ambayo ulipewa naada ya kusaini yalikuwa yanaeleza nini? je,ulikuwa unahusishwa vipi na tukio la wizi? pia nivigumu kuthibitisha kuwa ulisaini maelezo ya polisi kwa kushinikizwa ila kama unaweza tafuta Mwanasheria aweze kukusaidia katika kesi yako au tafuta kitengo cha msaada wa kisheria utapata msaada .
 
Endelea kugomea kazi zake na Wala uskaribie eneo la kazi mpaka hatma ya shauri litakapo pata muafaka kwenye vyombo vya sheria
lakini pia ataonekana ni mtoro kazini,ila kwa mimi ningemshauri arudi kazini takuwa ushahidi tosha endapo atarudi kufanya kazi ile ile aliyokuwa anafanya mwanzo.
kwani kiuhalisia huwezi mrudisha mtu aliyekuibia kazini au katika nafasi ile ile aliyokuwa nafanyia kazi kama siyo mwaminifu. mgazanyau kama nafasi iko nakushauri urudi kazini huku ukitumia muda huo kutafuta ushahidi zaidi ya kuonyesha hauna hatia huku ukiangalia ishi zingine
 
Back
Top Bottom