Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Hata hiyo mwaka na miezi 9 utaidai pia katika majumuisho
 
Asante mkuu The Ice berg,nipo Dar,jamaa kwa kutopeleka michango ilipelekea nssf kutuondoa kwenye mpango wa bima ya afya! Je fao la kukoza kazi litatolewa kwa style hii?
 
Asante mkuu The Ice berg,nipo Dar,jamaa kwa kutopeleka michango ilipelekea nssf kutuondoa kwenye mpango wa bima ya afya! Je fao la kukoza kazi litatolewa kwa style hii?
Fao la kukosa ajira utalipata kwa barua ya kuacha kazi itakayotoka kwa mwajiri wako wa mwisho then process wataanzia pale
 
Asante mkuu The Ice berg,nipo Dar,jamaa kwa kutopeleka michango ilipelekea nssf kutuondoa kwenye mpango wa bima ya afya! Je fao la kukoza kazi litatolewa kwa style hii?
Lile swali lako jibu lake hili hapa

Fika offisini NSSF hapo uliopo toa taarifa hiyo kwa kitengo cha ya operation kwa hawa compliance offcer yoyote waambie kuna michango mwajiri wako haijakamilisha na haipo kwenye account yangu, wao watafuatiliwa wenyewe na sio wewe, michango yako ikiamilika process za dai zitaendelea. Hakikisha mwajiri amekupa barau ya kuacha kazi kama, ukifika shirikani waambie umeanza kufanya kazi tangu lini
 
Asante mkuu The Ice berg,nipo Dar,jamaa kwa kutopeleka michango ilipelekea nssf kutuondoa kwenye mpango wa bima ya afya! Je fao la kukoza kazi litatolewa kwa style hii?
Bila kuwa na michango ya miezi mitatu ni kweli automatic hupati fao la afya mwajiri wenuu alikosea kutopeleka michango shirikani lakini pia mfanyakazi unapaswa kiwa unafuatilia stahiki zako kipindi upo kazini ukisubiri mpaka uachishwe kazi unakua umekosa mafao mengi mfano fao la uzazi, fao la matibabu lakink pia fao la kukosa ajira litachelewa maana mpaka kichango yako ikamilike ndiyo ulipwe so hufutiliaji unakua ni mchakato
 
Kama mkataba umeisha mnatakiwa muingie mkataba mwingine au kama huna interest ya kuendelea muandikie barua huna mpango wa extention
mhh,tayari kaishapewa barua na mwajiri kuwa hatapewa mkataba mwingine baada ya huo aliona kuisha Boss
 
Pia nilifanya kazi mwaka na miezi 9 kabla ya kupewa mkataba.Nifanyeje kupatewa Madai yangu.
hiyo michango ya ambayo haijapelekwa ,ulikuwa unakatwa katika msahahara?na kabla ya kupewa mkataba wa ajira ulikuwa ukifanya kazi kama intern au mwajiriwa kabisa?
 
ila kwa kipindi hiki kidogo kuna maboresho,naona mwajiri huwa anatakiwa kuandika barua kuelezea sababu ya michango kutokuingia kwa wakati au kufanya marekebisho ya michango ambayo hakupeleka katika mfuko wa hifadhi ya Jamii
 
Nenda ofisi za NSSF kama ulivyoelekezwa hapo juu na Iceberg9,ukifika omba updated statement ataenda nayo ofisi ya ukaguzi kama ilivyoelezwa hapo juu,na watakupa Adjustment form(Fomu ya marekebisho ya michango)ambayo utapaswa kupeleka kwa mwajiri ili aijaze au kuingiza hiyo michango ambayo hakupeleka,ila pia hakikisha unakuwa na salary slip zako ilikuthibitisha kuwa ulikuwa unakatwa kiasi fulani kutoka katika mshahara wako na mwajiri kwa ajili ya NSSF au nakala ya makubaliano endapo mwajiri angelipa kiasi chote cha asilimia 20(20%)mwenyewe pasipo kukata katika mshahara wako.
 
hiyo michango ya ambayo haijapelekwa ,ulikuwa unakatwa katika msahahara?na kabla ya kupewa mkataba wa ajira ulikuwa ukifanya kazi kama intern au mwajiriwa kabisa?
sikuwa nakatwa,nilikuwa nafanya kazi kama mwajiriwa lkn bila mkataba
 
slary slip hatoi ila mikatba yangu yote ipo ikionyesha kisi gani nakatwa .
 
Thanks,so akisha jaza michango ambayo hakupeleka nini kitafata
 
Thanks,so akisha jaza michango ambayo hakupeleka nini kitafata
mara nyingi huwa unarudishiwa fomu hiyo pamoja na nakala(copy)ya malipo ya miezi au miaka ambayo haikuingizwa,kisha utarudisha ofisi za ukaguzi NSSF na michango kama ililipwa itaingizwa katika akaunti yako ya NSSF
 
sikuwa nakatwa,nilikuwa nafanya kazi kama mwajiriwa lkn bila mkataba
Sasa kama ulikuwa hukatwi utamlipwa kutoka wapi? ulipaswa kufikisha malalamiko yako mapema na kushinikiza mwajiri akukate asilimia zako kwa ajili ya NSSF ili ksma hakupeleka ungeweza kushughulika naye kwa kuonyesha nakala zako za malipo yya mshahara(salary slip)inayoonyesha ulikatwa kiasi fulani katika mshahara wako kwa ajili ya NSSF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…