Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Jombaa, sijacomment wala kujadili kwenye mada yeyote kuhusu utajiri hapa Jf mwaka huu. Ungedadavua zaidi ndio nielewe unanishutumu kuhusu nini haswa.

Haha! Labda kakutag kwa kuwa wewe ni Mkenya na mmoja wa wanaoongoza kuchangia katika jukwaa hili. Msamehe, mkuu...
 
Kuna vitu vya ajabu sana duniani.
Hata wakisema Tanzania idadi ya mabilionair imeongezeka kwa asilimia 90, endapo mie sio miongoni mwao au sifaidiki na chochote haina tija sana kwangu.

Unawezakuwa unabishana hapa na Mkenya kwamba mabilionair wamrpungua lakini kumbe huyo unaepigizana nae kelele haumkamati hata kidogo.

Hapa ingefaa hizi taarifa kujadiliwa kwa kuangalia mambo gani yamepelekea kupungua au kuongezeka kwa utajiri? Endapo ni siasa safi, mbona tunaambiwa Tanzania kwa sasa sio rafiki kwa biashara?

Na kwa harakaharaka Kenya ni kama kiuchumi wako vizuri na mazingira ya uwekezaji yanavutia, Je hizi taarifa zinazingatia vitu gani vya msingi?

Na mwisho kila mmoja kuona anahusika au kunufaika namna gani na hizi taarifa?

Kutambiana kwa kurushiana vijembe haitakua na manufaa sana.

Unaambiwa ufaulu umeongezeka kwa kiasi kikubwa wakati wewe umefeli, inaingia akilini kweli kupokea hizo taarifa? Utafurahia hizo taarifa tu endapo uko miongoni mwa waliofaulu.

Kama una njaa kwako ni wewe, usiwazuie wengine kufurahi. Fanya kazi kwa bidii na uache kulalamika. Wenye jukwaa lao (Tz VS Ke) wanajuana na wameshazoeana, sijui wewe inakuuma nini!..
 
Kama una njaa kwako ni wewe, usiwazuie wengine kufurahi. Fanya kazi kwa bidii na uache kulalamika. Wenye jukwaa lao (Tz VS Ke) wanajuana na wameshazoeana, sijui wewe inakuuma nini!..

Sawa mkubwa, lakini hakuna popote nimesema kuna kitu kinaniuma, au siku hizi kuna masharti kutoa mawazo binafsi?
 
Ndugu zangu,

Hizi ni takwimu mpya Tanzania inatajwa kuwa na mamilionea wengi wa Dola kuzidi Kenya.
Screenshot_20200305-184318.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu eti tunaambiwa sijui vyuma vimefanyaje??
 
Halafu eti tunaambiwa sijui vyuma vimefanyaje??
Kwahiyo umehitimisha kabisa kuwa hali mtaani kiuchumi si mbaya kisa tuna mamilionea 114?Duuuh!
Ukifuatilia unaweza kukuta wengine humo wamepunguza wafanyakazi kutokana na hali kuwa mbaya!
 
Matajiri ni wale wale tu hakuna matajiri wapya. Tunataka middle class life kwa watanzania wote mamilione wanatuhusu nini watanzania wenye kipato cha chini?

kwan unadhan wamefika huo utajiri kwa kua middle class?
 
Wewe muanzisha uzi upo namba ngapi kati yao? We
Sijui atakuwa ni wa ngapi maana toka ajiunge na lumumba buku Saba kuanzia tatehe 12 February 2014 mpaka Jana saa 3.28 ametimiza miaka 14 na siku 17 ya kuishi kwenye kitundu pale lumumba alifanikiwa kuposti mapambio 14,326,000 kwa malipo ya buku Saba kwa kila pambio anaweza kuwa ameingiza
tshs 100,326,000/= tu
 
acheni vijembe! mtu ametoa tu taarifa kama taarifa zingine, izo tabia zingine ni kujidhalilisha sasa: ata mm sio tajiri lakini hakunifanyi nichukie mtu akifika level flan ya maisha. huo ni uchawi
 
Back
Top Bottom