Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Ndugu zangu,

Hizi ni takwimu mpya Tanzania inatajwa kuwa na mamilionea wengi wa Dola kuzidi Kenya.View attachment 1377989

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, hizi ni habari njema sana na za kutia moyo. Huu utafiti wa Knights and Frank unatia moyo maana utafiti wa Forbes unakatisha tamaa kabisa
Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!

Hivyo angalau kumbe Tanzania tuna mamilionea wengi kuliko Kenya!, tena masikini mimi najuta, kama nisinge uliza swali fulani mahali ningekuwepo kwenye hiyo list, maana enzi hizo, tenda ya maonyesho tuu ya Saba Saba, I was rolling TZS, 300m, tenda ya Nane Nane TZS. 200m, Tenda ya Tamisemi, TZS 500m, Tenda ya TIC, TZS. 400m !.

Majuto ni mjukuu.
P
 
Kaka... kumbe ulikua unavuta mpunga mwingi hivi!!!
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, hizi ni habari njema sana na za kutia moyo. Tena masikini mimi najuta, kama nisinge uliza swali fulani mahali ningekuwepo kwenye hiyo list, maana enzi hizo, tenda ya maonyesho tuu ya Saba Saba, I was rolling TZS, 300m, tenda ya Nane Nane TZS. 200m, Tenda ya Tamisemi, TZS 500m, Tenda ya TIC, TZS. 400m !.

Majuto ni mjukuu.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani acha tu kaka,vichwa vinauma kweli kweli...

Hata wale jamaa wa tabata relini mambo si mambo sasa hivi!!

Nina ujumbe wako huko inbox
Tena wakati huo ofisi yangu ilikuwa mjini kati nimepanga jengo zima la national housing, kodi ya pango tuu ni zaidi ya mshahara wa DC!. Ila alipoingia tuu jamaa, ndani ya mwaka mmoja hali ilikuwa hivi

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As they say, statistics are like a bikini: what they reveal is suggestive but what they leave out is crucial.

Tanzania may have more dollar millionaires than Kenya but it has a smaller economy and a much smaller per capita income. The size of Kenya’s economy is, as at 2019, USD 99.25 billion. Its per capita income was USD 2,010. Compare that with Tanzania’s GDP of USD 62.22 billion and per capita income of USD 1,100.

In view of the above data, the existence of more dollar millionaires in Tanzania than in Kenya points to a badly skewed distribution of wealth.

Miaka ya sabini wakati tunajenga Ujamaa tuliwachukia sana Wakenya. Tuliwaita NYANGAU. Tulilaani sana uchumi wao wa kibepari. Amzingly, ubepari wa Kenya umezaa usawa zaidi kuliko Ujamaa wa Tanzania.

Kushangilia hii ya Bongo kuwa na mamilionea wengi zaidi ya Kenya ni kama kujitekenya mwenyewe na kuangua kicheko kikali.
 
Nzuri Sana hii! Kwenye hao matajiri 114 huenda ni kawa mmoja wapo siku zijazo.
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, hizi ni habari njema sana na za kutia moyo. Huu utafiti wa Knights and Frank unatia moyo maana utafiti wa Forbes unakatisha tamaa kabisa
Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!

Hivyo angalau kumbe Tanzania tuna mamilionea wengi kuliko Kenya!, tena masikini mimi najuta, kama nisinge uliza swali fulani mahali ningekuwepo kwenye hiyo list, maana enzi hizo, tenda ya maonyesho tuu ya Saba Saba, I was rolling TZS, 300m, tenda ya Nane Nane TZS. 200m, Tenda ya Tamisemi, TZS 500m, Tenda ya TIC, TZS. 400m !.

Majuto ni mjukuu.
P
Dah!.. yaani ulipoteza ghafla Billion 1.4 ? kweli huchanga vizuri karata zako.
 
Back
Top Bottom