Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Madini ya tz ndiyo yalikuwa yanawafanya mamilionea sasa magu kablock mmefilisika pimbi nyinyi ndiyo maana matajiri wanapungua because tz is no free launch for kunya anymore

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika machache mazuri aliyofanya Magufuli, hili ni mojawapo zuri sana.

Hii 'model' ya maendeleo ya Kenya watu hawaielewi kamwe.

Nchi sasa inatengenezwa kuwa kama 'outpost' ya wakubwa. Kuja kufanyia shughuli zao na kupeleka faida nyumbani.

Furaha wanayobaki nayo wananchi, eti ni hizo ajira, mishahara ya mshona nguo za kuuza Marekani kwenye 'Special Economic Zone', faida inayopatikana anapeleka kwao. Kodi halipi, au analipa kidogo sana!

Akina Del Monte na wengine wenye mashamba makubwa makubwa, kama wangekuwa na njia za kuwafanya wasaidie maendeleo ya wananchi, baadhi yao ambao walinyang'anywa mashamba hayo, wanachi hao hali zao zingekuwa zimebadilika vya kutosha,; lakini wapi, Del Monte kila mwaka anatengeneza mamilioni yake, kiasi kinachobaki Kenya ni kidogo sana.
 
Nakubali jamaa la data
Naona elimu ya saint kayumba unaitumia vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaa!!naskia raha sana kukuona unalalamika[emoji3]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km zimepikwa wasingelikwambia utembelee tovuti yao...

Ndipo nikakwambia habari zao zote hao jamaa hu copy paste...ndio manake hata za mwaka huu pia vyombo vya habari vya kenya waliendelea na copy and paste yao tu...upo jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo ndio jambo linashangaza dunia, kwanini Wakenya mnapenda kupika na kubadilisha mambo ambayo yako wazi kabisa
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2)Oldivai gorge ipo Kenya
3)Kenya kuna matajiri wengi kuliko Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

It maybe true but mm naongelea Kenya as Kenya means jumlisha wawekezaji wote na wananchi kwa ujumla ndo wanaifanya inakua the Kenya we know
 
Lakini sioni sehemu unayoonyesha kuwa nayo ujuzi wa kuueleza tukauelewa vizuri. Unagonga tu, na kuondoka bila kutoa maelezo yanayojitosheleza kuonyesha hayo unayotaka tuyaelewe!

Nimeelezea vizuri na nkatoa mfano upande wa tech nkakwambia how Kenya have influence in Africa nmekupa na news nlikua nasoma ya jana, not enough I have been in most platforms za techs in Africa and nmeelezea apo! Read it well
 
It maybe true but mm naongelea Kenya as Kenya means jumlisha wawekezaji wote na wananchi kwa ujumla ndo wanaifanya inakua the Kenya we know
Kaka jaribu kumsikiliza vizuri Sana Dr. David Ndii na kusoma articles zake kuhusu uchumi wa Kenya, huyu jamaa ni msomi mzuri sana wa uchumi, duniani anashika namba 23 katika kundi la "the Best economists".

Kenya hawana uchumi wowote ni usanii tu na utapeli, wakubwa na wachache wanaiba na kudhulumu pesa za serikali. Wewe jiuliza uchumi wa Kenya unategemea sector gani hasa?.

Zamani walikua wanategemea sana viwanda, sass hivi bidhaa karibia zote zinatoka China na Asia, viwanda vingi vya Kenya vinafungwa kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu mm sipingani na maoni ya mtu yoyote apa kwenye forum nmetoa mawazo yangu kutokana na interaction zangu na wakenya kwenye platform nyingi apa afrika! kwa mfano mm nilibase upande wa tech na nna kila reasons kusema tech kwa kenya its beyond Tanzania levels! Not even south Africa can withstand na kenya

and najua ndio kenya kuna muunganiko wa watu wengi lakini hao ndo wanaoifanya inakua kenya! ukisema kenya haumaanishi mwananchi alieko kule turkana ndo anahesabiwa kama mkenya tu, wapo watu wamekuja kuwekeza kenya na kuhamisha makazi kenya kabisa na biashara zao kua kubwa sana! na zimechangia ukuaji wa kenya

najua kuna changamoto ndio, just like any other country hakuna sehem hakuna changamoto mfano umaskini sasa nmeconsider all these factors na kwa kutembea tembea sehem kadhaa kweli kuna watu wanamaisha duni sana kenya, ila pia kuna watu matajiri wakubwa! gap ya maskini na matajiri ipo kila sehem mfano Tanzania kuna mtu ana $2B na kuna mwingine hajui anakula nn leo ni kawaida

sasa kwa kujua haya yote bado kenya imewekezwa kikubwa sana kuliko Tanzania! they have alot of investors, huezi linganisha na Tanzania ambapo wananchi wanategmea sana serikali (we are socialists):
 

wacha nkupe mfano: GOOGLE AFRICA wanakuaga na event zao africa atleast twice per year and kila kukiwa na event only 2 places ndo inatake place, NIGERIA and KENYA hatujawahi fanya other than these 2 countries, kidogo wameanza kufocus na rwanda but all years ni kenya na nigeria! so hua lazima tusafiri kuelekea hizo nchi, here is the latest event example



And ni kenya na nigeria ndo wanapewa rukhsa ya kuandaa always, why not tanzania? tatizo moja watu hupotray Tz in false way uku na articles but as a person who has participated in most tech platforms in Africa naweza kukwambia upande wa tech kenya is beyond Africa! they are eeven building a city just for tech only inaitwa KONZA CITY



although bado kuna politics behind this city but you can just see the level of investment, compare this with Tanzania utaona what am saying! dont take words from people on this forum tembea tembea nchi za apa na pale utaona jinsi wenzetu wansogea mbele sisi hua tunapiga kelel mitandaoni


huu ni upande wa tech nmetoa mfano but naweza kukupa alot of examples kwenye industries tafaut tafaut, na jinsi uwekezaji unaendelea! mfano real estate and many more,
 
Hivi yule jamaa aliyetaka kutoka na taulo kipindi kile kwnd kuwakosoa Knight Frank bado hajafika tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio sababu nikakuambia umsikilize kwa umakini sana Dr. Ndii na usome article zake, uchumi wa Kenya ni Kama wa South Africa na Zimbabwe ya zamani, ambapo Uhuru wao ulibaki wa kisiasa pekee ambapo watu weusi ndio wanaongoza nchi lakini njia nyingi za uzalishaji Mali, hasa ardhi bado zipo mikononi wa wageni na wanasiasa, jambo ambalo EFF wanapigana kulibadilisha, na ANC wameshapeleka muswada bungeni.

Kuhusu gap kati ya masikini na tajiri, duniani kote kuna matajiri Sana na masikini Sana, Marekani kuna Bill Gate akiwa na $80B, Wakati kuna raia wanalala barabarani, lakini bado wanasema pengo Kati ya masikini na matajiri ni dogo, hii ni kwasababu halipimwi kwa kutumia Mtu mmoja mmoja.

Tanzania inaongoza katika nchi zilizo kusini mwa sahara katika Kigezo cha "Economic inclusivity", hii maana yake ni kwamba ushirikishaji wa wananchi, na mgawanyo wa kinachopatikana kwa wananchi wote ni mzuri kuliko nchi zingine, Kenya ni tofauti Sana, 52% ya mapanto ya nchi hutumika kulipa mishahara kwa watumishi wa serikali, ambao ni 2% wa raia wote, sasa huo ni mgawanyo gani?, tena kati ya hao watumishi wa serikali 70% wanataka makabila mawili au matatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technolojia gani ambayo Kenya wanauza nje ya Kenya na kuwaongezea mapanto?, au wewe unazungumzia makampuni na mashirika ya nje kufungua ofisi zao Nairobi?. Tofautisha kati ya kufungua ofisini na kuendelea kitechnolojia, Rwanda kampuni la VW wamefungua kiwanda cha kuunganisha magari, hiyo haina maana kwamba Rwanda wanaendelea katika teknolojia ya kutengeneza magari, hiyo ni kwa ajili ya kutengeneza Ajira kwa wanyarwanda, na kodi kwa serikali. Tafadhali taja teknolojia ya Kenya ambayo unasema ipo juu kuwazidi South Afrika nchi ambayo inatengeneza silaha zake Za kijeshi na kuziuza katika nchi zilizoendelea, usilinganishe Kenya na South Afrika tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sababu za kisiasa, ni sawa na Mandela kupigiwa tarumbeta kuwa mkombozi mkuu wa Afrika badala ya Nyerere.
 

naomba tuhitimishe huu mjadala! sisemi vibaya ila sipo apa kishabiki na nmetoa point zangu kulingana na jinsi nlivohudhuria tech platforms Africa! naomba ufanye research yako vizuri, kwa mfano kenya ushahidi app was the official platform to monitor obama presidential election, you can search utapata alot headlines by kenyans kwenye tech! without forgeting upande wa medicine nlisahau kuutaja, i am sure you are good in doing research pitia utapata info nyingi zaidi
 
Ni sababu za kisiasa, ni sawa na Mandela kupigiwa tarumbeta kuwa mkombozi mkuu wa Afrika badala ya Nyerere.

sababu zipi za kisiasa wakati headquaters za ORACLES, GOOGLE, FACEBOOK zote wamekimbilia kenya? siasa gan sasa apa



hizi ni baadhi ya investment tu upande wa tech kenya! i can guarantee you tanzania has a long way to go! Do you know kenya has elecric cars already? self driving cars also! anyway nahitimisha, i have dealt with tech miaka mingi sana and nkikwambia hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali i mean it, Tanzania hata zile gari za kuchora google maps hakuna, you cant move along the streets with google maps, whatever utakavochukulia kama ni siasa or whatever but to the level of investment kenya, we have a long way to go
 
Kaka, Mimi nilitaka unifumbue macho kwa kunitajia Technolojia moja tu ambayo Kenya wanayo na wanauza nchi za nje, hakuna Technolojia yoyote Kenya wanayo zaidi ya kutumika kwa ardhi ya Kenya Kama nchi ya kutangaza biashara Za makampuni makubwa, Coca-Cola, Google, Isuzu, na menginneyo. South Africa kampuni la Toyota wamefungua kiwanda cha kutengeneza magari yao, ambapo zaidi ya 90% ya vifaa vya gari vinatengenezwa hapo hapo SouthAfrika, hao ndio wanaendelea kitechnolojia, lakini hayo magari yanayotenfenezwa Kenya na Rwanda, 98% hutengenezwa nje ya hizo nchi, yanakuja Kenya na Rwanda kufungwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro you are lost and mistaken ...ever heard of human resource?Kenya prides itself for that .we have one of the best human resources in Africa and it's exported all over the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…