Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Jombaa, sijacomment wala kujadili kwenye mada yeyote kuhusu utajiri hapa Jf mwaka huu. Ungedadavua zaidi ndio nielewe unanishutumu kuhusu nini haswa.
Kuna vitu vya ajabu sana duniani.
Hata wakisema Tanzania idadi ya mabilionair imeongezeka kwa asilimia 90, endapo mie sio miongoni mwao au sifaidiki na chochote haina tija sana kwangu.
Unawezakuwa unabishana hapa na Mkenya kwamba mabilionair wamrpungua lakini kumbe huyo unaepigizana nae kelele haumkamati hata kidogo.
Hapa ingefaa hizi taarifa kujadiliwa kwa kuangalia mambo gani yamepelekea kupungua au kuongezeka kwa utajiri? Endapo ni siasa safi, mbona tunaambiwa Tanzania kwa sasa sio rafiki kwa biashara?
Na kwa harakaharaka Kenya ni kama kiuchumi wako vizuri na mazingira ya uwekezaji yanavutia, Je hizi taarifa zinazingatia vitu gani vya msingi?
Na mwisho kila mmoja kuona anahusika au kunufaika namna gani na hizi taarifa?
Kutambiana kwa kurushiana vijembe haitakua na manufaa sana.
Unaambiwa ufaulu umeongezeka kwa kiasi kikubwa wakati wewe umefeli, inaingia akilini kweli kupokea hizo taarifa? Utafurahia hizo taarifa tu endapo uko miongoni mwa waliofaulu.
Kama una njaa kwako ni wewe, usiwazuie wengine kufurahi. Fanya kazi kwa bidii na uache kulalamika. Wenye jukwaa lao (Tz VS Ke) wanajuana na wameshazoeana, sijui wewe inakuuma nini!..
Labda unijibu Tanzania inawangapi na kenya inawangapi.Soma habari yenyewe, acha kuchachawa.
Nenda BBC kasome taarifa kichwa ngumuNimeisoma kabisa Wala sijaona hio idadi ambayo Tanzania imeipita kenya.Labda unijibu Tanzania inawangapi na kenya inawangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kinachojadiliwa ni ripoti ya BBC inayoitaja Tanzania kuwa namba nne nyuma ya Morroco, hiyo maana yake Kenya haipo kati ya nchi hizo nne, au mpaka waseme kwamba Kenya imepitwa na Tanzania?,Nimeisoma kabisa Wala sijaona hio idadi ambayo Tanzania imeipita kenya.Labda unijibu Tanzania inawangapi na kenya inawangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unakasirika badala ya kujenga hoja?Matajiri ni wale wale tu hakuna matajiri wapya. Tunataka middle class life kwa watanzania wote mamilione wanatuhusu nini watanzania wenye kipato cha chini?
Kwahiyo umehitimisha kabisa kuwa hali mtaani kiuchumi si mbaya kisa tuna mamilionea 114?Duuuh!Halafu eti tunaambiwa sijui vyuma vimefanyaje??
Matajiri ni wale wale tu hakuna matajiri wapya. Tunataka middle class life kwa watanzania wote mamilione wanatuhusu nini watanzania wenye kipato cha chini?
Sijui atakuwa ni wa ngapi maana toka ajiunge na lumumba buku Saba kuanzia tatehe 12 February 2014 mpaka Jana saa 3.28 ametimiza miaka 14 na siku 17 ya kuishi kwenye kitundu pale lumumba alifanikiwa kuposti mapambio 14,326,000 kwa malipo ya buku Saba kwa kila pambio anaweza kuwa ameingizaWewe muanzisha uzi upo namba ngapi kati yao? We
Sijui atakuwa ni wa ngapi maana toka ajiunge na lumumba buku Saba kuanzia tatehe 12 February 2014 mpaka Jana saa 3.28 ametimiza miaka 14 na siku 17 ya kuishi kwenye kitundu pale lumumba alifanikiwa kuposti mapambio 14,326,000 kwa malipo ya buku Saba kwa kila pambio anaweza kuwa ameingiza
tshs 100,326,000/= tu