Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

what about the national budget? still a bad way to track unataka kusema? do you see that gap! na kelele zote tunapiga mtandaoni ila bado tmeshindwa kuandaa budget kubwa, unajua sio kwamba those guys hawana pesa! wana tatizo la ufisadi, ela znaishia kwa watu wachache
Mbona unajizungushazungusha hata hueleweki?
Hiyo namba kubwa ni kiasi gani KRA wanakusanya; ni kiasi gani kinatumika kwenye mipango iliyowekwa?

Wewe unapapatikia tu namba kubwa, majengo marefu Nairobi, vikampuni vya nje kuweka mirija yao ya kufyonza faida na kupeleka nje bila ya kuwafaidisha chochote wananchi ..., hayo ndio maendeleo makubwa unayoyaonawewe.

Finlay, Unilever, na wengine wapo pale miaka mingapi? Wamevuna kiasi gani na wamebadilisha maisha ya wananchi kiasi gani, hujui.

Bure Kabisa.
 
Nenda kamwambie Ukur Yatani hayo kama atakuelewa.

Lakini najua huna uwezo wa kuelewa nilichoandika hapa.

sasa naelewaje na amna cha maana kwenye content yako, huna ata data za kubeba maelezo yako unategemea naelewa nn?
 
Mbona unajizungushazungusha hata hueleweki?
Hiyo namba kubwa ni kiasi gani KRA wanakusanya; ni kiasi gani kinatumika kwenye mipango iliyowekwa?

Wewe unapapatikia tu namba kubwa, majengo marefu Nairobi, vikampuni vya nje kuweka mirija yao ya kufyonza faida na kupeleka nje bila ya kuwafaidisha chochote wananchi ..., hayo ndio maendeleo makubwa unayoyaonawewe.

Finlay, Unilever, na wengine wapo pale miaka mingapi? Wamevuna kiasi gani na wamebadilisha maisha ya wananchi kiasi gani, hujui.

Bure Kabisa.

Bro,tunachobishana ni nn apa? kwamba Tz imepiga hatua kuliko kenya ama? unazunguka sana! point yako ni nn haswa maana ata kwa trump watu wanalala kwenye magari, maskini wapo pemben kwenye barabara including the homeless! but does that qualify kusema marekani is poor? wewe unachobisha ni nn maaana vipimo vingi tu tanzania bado hatujafika
 
sasa naelewaje na amna cha maana kwenye content yako, huna ata data za kubeba maelezo yako unategemea naelewa nn?
Mimi nilidhani uko 'well informed' na hali ya huko mkuu stakehigh, kwa jinsi ulivyokuja na moto sana hapa!

Kwa hiyo hujui mpaka nikufundishe?
 
Bro,tunachobishana ni nn apa? kwamba Tz imepiga hatua kuliko kenya ama? unazunguka sana! point yako ni nn haswa maana ata kwa trump watu wanalala kwenye magari, maskini wapo pemben kwenye barabara including the homeless! but does that qualify kusema marekani is poor? wewe unachobisha ni nn maaana vipimo vingi tu tanzania bado hatujafika
Hao unaowataja kwa Trump, ni sehemu kubwa ya jamii, au ni wachache sana hata asili moja haitimii?

Hata kulinganisha tu huwezi mkuu? Ulinganishe ya Trump na ya Kenya, kweli?
 
Mimi nilidhani uko 'well informed' na hali ya huko mkuu stakehigh, kwa jinsi ulivyokuja na moto sana hapa!

Kwa hiyo hujui mpaka nikufundishe?

Nn icho unataka kusema skijui? Ungesoma mwanzoni nlivokua naelezea haswa upande wa tech nmesema nmepita katika mikutano mingi hapa barani na nmekutana na wkenya wengi sana, nachokwmbia ni facts! Penda usipende ila ndo ukwel, na pia mm sjaja APA kubishana nmekupa facts kama hutaki kuskia facts nikupe info zingine?
 
Hao unaowataja kwa Trump, ni sehemu kubwa ya jamii, au ni wachache sana hata asili moja haitimii?

Hata kulinganisha tu huwezi mkuu? Ulinganishe ya Trump na ya Kenya, kweli?

Bro watu wana maisha magumu usione tu wanavojipamba watu wana madeni hawajui wanalipaje
 
Mimi nilidhani uko 'well informed' na hali ya huko mkuu stakehigh, kwa jinsi ulivyokuja na moto sana hapa!

Kwa hiyo hujui mpaka nikufundishe?

Alafu I am tired maaana skuja kubishana nmechangia mada tu, kuna watu wanapenda izi ligi kbishne nao tafadhal, I used tech as an example and I can guarantee you 100% that no nation in Africa not even south Africa can withstand Kenya! Sasa kama south Africa tu wanakaa pemben sjui Tanzania tunakaa WAP

according to stats Nairobi is richer than the whole Tanzania, bado unabisha? Data zpo

Na kuwasema kote sjui ili na lile lakini bado tunashindwa kupata bajeti kubwa kuliko WAP ! I mean this is crazy mnachobisha ni nn sasa
 
Your naivety on these matters is beyond measure, so you really think these companies are in kenya because of a conducive environment? If Kenya is such a great country for business, how come you don't have more millionaires than us?
Politics and business(economy) go hand in hand. It is astonishing that you are trying to argue against that. You either don't know Jack shit about the topic or this is some sad attempt at trolling. Either way, you are looking embarrassingly ill equipped to participate in this conversation
 
As years go by you're getting more and more delusional.
 
thats a good question, simple answer, still underdeveloped in tech! how can you setup a tech meeting in singida while unajua wanasubiria sera za kuwakomboa katika kilimo?
What's so special about setting up a meeting? Good lord!
Tanzania 70% ni kilimo, unataka uje kutrade tech na watu wakilimo? thats madness, ulishawahi kuskia kiongozi yoyote mkubwa katika field ya tech anakuja tanzania? ziara zao hua znaishia nigeria, south africa and kenya!
Your understanding of the meaning of the word "tech" is limited. Technology is a broader term, in fact, the types, the efficiency of utilizing resources and the amount of food we produce can be converted in to data and figures. From there on, we can be instantiate and encapsulate the data. That's tech right there, bro.
These guys wapo mbali sana, mfano katika uchaguzi mkuu kipindi obama anagombea walitumia USHAHIDI TECH kutoka kenya!
Source please.
last but not least, mnafanya kazi kubwa kuwaaminisha watu kwamba tanzania is rich than kenya while ata kuandaa budget kubwa hatuwezi, izo pesa mnazoziongelea zko wap? unajua most people suffer from self acceptance! if your poor hauwezi kusogea kama hautajipresent as poor, unataka kusogea mbele alafu una kiburi, wapi na wapi?
Bro, its not how much you make (collect) that counts, it's how much you keep. And that's how the rich think.

In Tanzania with our little budget, we have demonstrated how to turn a lemon into lemonade. We have built hospitals, railways, roads and many other functions of the government like providing free education by allocating our funds better.

What have they done with their budget?
 
You are a waste...your momma should have swallowed
You got me fucked up.

You just don't know, I'm your daddy, you nappy head f*cker, I should have pulled out that night when I came into your ugly ass mother, you knuckle head!

I know I wasn't around when you're growing up, wasn't my fault, it's your big mouth bitch mother that kept me away from you. I hope you weren't bullied as a child, cause with that shit coming from you, something must have screwed you up in the head.

I don't like to ridicule you, lil nigga, but your skin must be looking like a mother f**ing chitlins!

I also wanna know who gave you that shit you be smoking, to have that passive aggressive attitude like a lil bitch who is posing to be chosen. The person who did that... needs to be raided cause there must be something on the pipe, making you hallucinating shit.

I digress.
 
What's so special about setting up a meeting? Good lord!

Your understanding of the meaning of the word "tech" is limited. Technology is a broader term, in fact, the types, the efficiency of utilizing resources and the amount of food we produce can be converted in to data and figures. From there on, we can be instantiate and encapsulate the data. That's tech right there, bro.

Source please.

Bro, its not how much you make (collect) that counts, it's how much you keep. And that's how the rich think.

In Tanzania with our little budget, we have demonstrated how to turn a lemon into lemonade. We have built hospitals, railways, roads and many other functions of the government like providing free education by allocating our funds better.

What have they done with their budget?
Kwhyo reli, barabara na mahospitali east africa mmejenga nynyi tu...kha!!

Yani akili zingine bana[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo reli, barabara na mahospitali east africa mmejenga nynyi tu...kha!!

Yani akili zingine bana[emoji1787][emoji1787]
kama ungenisoma vizuri ungeelewa kuwa nilikuwa nazungumzia matumizi bora ya fedha za umma.
 
What's so special about setting up a meeting? Good lord!

Your understanding of the meaning of the word "tech" is limited. Technology is a broader term, in fact, the types, the efficiency of utilizing resources and the amount of food we produce can be converted in to data and figures. From there on, we can be instantiate and encapsulate the data. That's tech right there, bro.

Source please.

Bro, its not how much you make (collect) that counts, it's how much you keep. And that's how the rich think.

In Tanzania with our little budget, we have demonstrated how to turn a lemon into lemonade. We have built hospitals, railways, roads and many other functions of the government like providing free education by allocating our funds better.

What have they done with their budget?

What's special thing with meeting?????? Bunge lina kazi gan?

You said correctly tech is broad and yes I am referring to almost all angles of tech, from medicine mpka enterprise tech

Alafu vitu vingine get online maaana data zpo, with that budget bado MTU akizidiwa anaenda Nairobi kwa matibab zaidi, higher learning ndo ata usiongee wabongo wamejaa Nairobi, roads ndo yaani bora mgufuli anjitahidi sana lakini bado sna hawa upande was flyover , flyover tz sjui ni moja hio plus exchange ya ubungo! Which budget SASa are you talking
 
Back
Top Bottom