Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

Wenye nchi hasa barabarani wapo miaka yote labda kama wewe mgeni Tanzagiza.
 

Huu ujinga ulisomea wapi?
 
Mkuu japo sijasoma ulichoandika lakini hata kama ni ww unataka Vieite ikae nyuma ya IST kwenye foleni pale Nelson Mandela road?
Kwa nini isikae? Ujinga huu hata wa Japan waliotengeneza hayo magari hawana, washamba wa Tz ndio wananyanyasana kwa pesa za wizi!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Majuzi yupo jamaa kanipita kwenye Kibao cha 50 k/h mbele kuna Trafiki wanamuona akipita magari kwenye eneo lisiloruhusu aliposimamishwa alisimamishwa muda mchache tu wa salamu na akaendelea na safari niliona wenye Corola na jamii hiyo wakiendelea kuwaomba Trafiki pale...
 
Mkuu japo sijasoma ulichoandika lakini hata kama ni ww unataka Vieite ikae nyuma ya IST kwenye foleni pale Nelson Mandela road?
Shida n kwamba kundi Hilo huwez kutambua n muda gn wa naelekea kazn au wa naelekea nyumban. Mfano n watu wa usalama wa taifa Kuna matukio muda wowote anaweza kuhitajka ofsn hata muda ambao ww unafkir n muda sahihi wa watu kwenda majumban kupumzka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…