Ni wachokozi hawa. Wakumbuke kipigo cha 1967. Urguement yao moja ni kuwa hata mpaka wa ziwa siyo katikati ya ziwa ila ukingoni upande wa TZ. Vile vile "Nyasa" (Nyanza kwa Kisukuma) kikwao maana yake ni Ziwa kwa hivo huwezi kuliita Ziwa Nyasa kwa maana ya "Ziwa ziwa".
Dawa ya watu hawa wa Malawi ni kupeleka jeshi tu basi!
Kama M7 alivyofanya kule migingo ni bora kuzuia mapema kuliko kuja kupambana na madhara yatakayotukuta wamalawi wengi wanaamini mbeya yote mpaka Ruvuma ni yakwao ipo siku wakati sisi watu wako busy kuiba mali ya umma nchi itamegwa na majirani zetu maana sisi tumelala usingizi wa pono. Nchi yetu haiheshimiwi tena kama enzi za zamani!
Tumeibiwa mali asili na wageni sasa wengine wanataka kuanza kugawana nchi yetu,tutakua kama Congo tukiendelea hivi, hata Congo walisambalatika kwa mitindindo ya kukithili kwa Ufisadi.
Hivi serikali hawaoni hatari hiyo? Wabunge wetu wamekalia kugombana kuibia Tanesco wengine tuliwaamini kumbe matapeli wa kubwa! Napenda msimamo wa Nyerere alisema wanaweza kuliita jina lolote ziwa nyasa kama vile banda,kamuzu lakini swala na mpaka halina mjadala, sasa angalia kumbe wamalawi wanafika mpaka upande wa Tanzania na sisi tumekaa kimya!
Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
======================Anajitafutia balaa
======================
Rais J.K aliapa kuilinda Katiba na Mipaka yote ya Nchi..... Sasa haya yote amefumbia macho, kama Amiri Jeshi Mkuu, anapaswa kuamuru KICHAPO kwanza kwa hizo ndege za researchers wa Malawi, then negotiations baadae! Naamini si vibaya kuwaonjesha ladha ya utayari wetu ktk vita.
Ukitizama fresh hata Lake Tanganyika walishaliuza Kitambo Pia kwa DRC na Zambia..kama kawaida ya Ccm walisha uza ziwa nyasa siku nyingi.
Tusiwe wepesi kushabikia vita. Tuwe wepesi kupata suluhu ya kidiplomasia. Vita ni kitu kibaya sana sana. Ni lazima kwanza kutafuta njia zote za kumaliza tatizo bila shari kabla ya kuingia vitani. Je, tumefanya jitihada zote za kuelewa chanzo na kutafuta ufumbuzi usio wa shari? Je, mnafikiri Wamalawi waliamka tu na kuamua mpaka uwe hapo? Tusomeni historia. Kama jambo ni rahisi hivi kwa nini halijatatulika toka enzi za Mwalimu?
Great Thinkers, You should trust your government, it is very stable and everything concerning the border conflict over lake Nyasa is under control.
Never jump to an issue brother.
Ebu tazameni maji yoote tulokuwa nayo haya na hata hesabu ya mito na maziwa..Halafu unaambiwa hatuna maji safi.. Bora hata hiyo Lake Nyasa wachukue Malawi we don't deserve to be guardians..The East African nation of Tanzania was formed out of the union of the much larger mainland territory of Tanganyika and the coastal archipelago of Zanzibar. The former was a colony and part of German East Africa from the 1880s to 1919, when, under the League of Nations, it became a British mandate until independence in 1961. It served as a military outpost during World War II, providing financial help, munitions, and soldiers. Zanzibar was settled as a trading hub, subsequently controlled by the Portuguese, the Sultanate of Oman, and then as a British protectorate by the end of the nineteenth century. Julius Nyerere ruled the country for decades and repressed all opposition. Years of socialism led to corruption on a massive scale and a collapse of the economy. Following Nyerere's retirement in 1985, various political and economic reforms began.
nngu007,Sikujua tuliwapiga 67' ndio Maana Kamuzu akawakimbilia Makaburu? LOL
Hizi ramani zimechakachuliwa. Nilipokuwa primary school wakati wa enzi za ukoloni, ramani ya kwanza ya Tanganyika tuliyotumia darasani ilionyesha mpaka wa Tanganyika ukipita katikati ya Ziwa Nyasa.Kwa argument yako ya kuangalia hiyo ramani, una maana hata lake Tanganyika halipo Tanzania?