Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

Tusiwe wepesi kushabikia vita. Tuwe wepesi kupata suluhu ya kidiplomasia. Vita ni kitu kibaya sana sana. Ni lazima kwanza kutafuta njia zote za kumaliza tatizo bila shari kabla ya kuingia vitani. Je, tumefanya jitihada zote za kuelewa chanzo na kutafuta ufumbuzi usio wa shari? Je, mnafikiri Wamalawi waliamka tu na kuamua mpaka uwe hapo? Tusomeni historia. Kama jambo ni rahisi hivi kwa nini halijatatulika toka enzi za Mwalimu?
 
Ni wachokozi hawa. Wakumbuke kipigo cha 1967. Urguement yao moja ni kuwa hata mpaka wa ziwa siyo katikati ya ziwa ila ukingoni upande wa TZ. Vile vile "Nyasa" (Nyanza kwa Kisukuma) kikwao maana yake ni Ziwa kwa hivo huwezi kuliita Ziwa Nyasa kwa maana ya "Ziwa ziwa".

Sikujua tuliwapiga 67' ndio Maana Kamuzu akawakimbilia Makaburu? LOL
 
Dawa ya watu hawa wa Malawi ni kupeleka jeshi tu basi!

Kama M7 alivyofanya kule migingo ni bora kuzuia mapema kuliko kuja kupambana na madhara yatakayotukuta wamalawi wengi wanaamini mbeya yote mpaka Ruvuma ni yakwao ipo siku wakati sisi watu wako busy kuiba mali ya umma nchi itamegwa na majirani zetu maana sisi tumelala usingizi wa pono. Nchi yetu haiheshimiwi tena kama enzi za zamani!

Tumeibiwa mali asili na wageni sasa wengine wanataka kuanza kugawana nchi yetu,tutakua kama Congo tukiendelea hivi, hata Congo walisambalatika kwa mitindindo ya kukithili kwa Ufisadi.

Hivi serikali hawaoni hatari hiyo? Wabunge wetu wamekalia kugombana kuibia Tanesco wengine tuliwaamini kumbe matapeli wa kubwa! Napenda msimamo wa Nyerere alisema wanaweza kuliita jina lolote ziwa nyasa kama vile banda,kamuzu lakini swala na mpaka halina mjadala, sasa angalia kumbe wamalawi wanafika mpaka upande wa Tanzania na sisi tumekaa kimya!

Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.

Hili ni Suala Ambalo UINGEREZA ililiacha tata MAKUSUDI baada ya kuona TANGANYIKA baada ya UHURU mwelekeo wake

Nyerere alisha peleka suala hili UN; lakini ilionekana kama alishinda na nakumbuka JINA la Ziwa lilibadilishwa kuwa

Lake MALAWI na Vitabu vyetu vya Shule vilibadilishwa wakaweka mabano (NYASA). na Katika Geography wakati ule

Shule zetu hazikuwa haziongelei sana Lake Nyasa-Malawi; lakini tulikuwa tunaambiwa kulikuwa na Mgogoro na nadhani

Banda na Nyerere walitakiwa wakae walishughulikie suala hili.... Wee isingewezekana...
 
Anajitafutia balaa
======================

Rais J.K aliapa kuilinda Katiba na Mipaka yote ya Nchi..... Sasa haya yote amefumbia macho, kama Amiri Jeshi Mkuu, anapaswa kuamuru KICHAPO kwanza kwa hizo ndege za researchers wa Malawi, then negotiations baadae! Naamini si vibaya kuwaonjesha ladha ya utayari wetu ktk vita.
 
Hawa wamalawi wameona Tz kwa sasa ina viongozi dhaifu na legelege ndo maana wanaraise izo issue ukizingatia ziwa lina mafuta basi moto unzidi wa kukomaaa kuwa lao lote
Jiulize mbona upande wa mozambique hawasemi kuwa lao lote na mpaka uko kati kati na sio kwa shoreline kama Tz!
Alafu Membe mambo ya blah blah kwenye issue nyeti kama izi muache ilo ziwe litaenda na next watataka kyela na mbambabay!
Ndugu zangu wamalawi mind u are a landlocked country tutazuia mizigo yenu yote kupitia bandari salama!
 
======================

Rais J.K aliapa kuilinda Katiba na Mipaka yote ya Nchi..... Sasa haya yote amefumbia macho, kama Amiri Jeshi Mkuu, anapaswa kuamuru KICHAPO kwanza kwa hizo ndege za researchers wa Malawi, then negotiations baadae! Naamini si vibaya kuwaonjesha ladha ya utayari wetu ktk vita.

Tizama Mipaka vizuri Mkuu Lake lote lipo upande wa Malawi na Msumbiji Tanzania haiana Ziwa so Vita vya nini? je Ushawahi Tizama Ramani ya Zinjibar miaka ya Nyuma?

kama kawaida ya Ccm walisha uza ziwa nyasa siku nyingi.
 
kama kawaida ya Ccm walisha uza ziwa nyasa siku nyingi.
Ukitizama fresh hata Lake Tanganyika walishaliuza Kitambo Pia kwa DRC na Zambia..

Bora Turejee na Jina letu la Kale Azania kama Ramani ya Mwaka 1584

1554munster.jpg
 
mainmap.gif
The East African nation of Tanzania was formed out of the union of the much larger mainland territory of Tanganyika and the coastal archipelago of Zanzibar. The former was a colony and part of German East Africa from the 1880s to 1919, when, under the League of Nations, it became a British mandate until independence in 1961. It served as a military outpost during World War II, providing financial help, munitions, and soldiers. Zanzibar was settled as a trading hub, subsequently controlled by the Portuguese, the Sultanate of Oman, and then as a British protectorate by the end of the nineteenth century. Julius Nyerere ruled the country for decades and repressed all opposition. Years of socialism led to corruption on a massive scale and a collapse of the economy. Following Nyerere's retirement in 1985, various political and economic reforms began.
 
Tusiwe wepesi kushabikia vita. Tuwe wepesi kupata suluhu ya kidiplomasia. Vita ni kitu kibaya sana sana. Ni lazima kwanza kutafuta njia zote za kumaliza tatizo bila shari kabla ya kuingia vitani. Je, tumefanya jitihada zote za kuelewa chanzo na kutafuta ufumbuzi usio wa shari? Je, mnafikiri Wamalawi waliamka tu na kuamua mpaka uwe hapo? Tusomeni historia. Kama jambo ni rahisi hivi kwa nini halijatatulika toka enzi za Mwalimu?

Upande wa Pili wa shilingi, Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar kwanza.Zambi ya wizi na kuhozi maeneo ya nchi nyengine inawatafuna Wadanganyika....
 
Great Thinkers, You should trust your government, it is very stable and everything concerning the border conflict over lake Nyasa is under control.

Never jump to an issue brother.

Boy! what are talking about?............"lake Nyasa is under control"?....wakati watu wanaingia hadi chumbani kwako.........unakuwa kama yule Waziri wa Saddam Hussein....eti kila kitu "under control".........under control my foot.....!

Kama ambavyo wao Wa-Malawi wanaprotect upande wao.....kitu gani kinachozuia na sisi kufanya vivyo hivyo.......huu Ukondoo utatuisha lini jamani..........A signal must be sent......tulifanya hivyo kwa Burundi & Rwanda ....kitu gani kinatushinda kipande hii?..........damn!
 
Migogoro ya mipaka huwa ni mibaya sana. Hawa viongozi wetu Malawi na Tanzania wakubaliane hii issue kabla haijaleta madhara.
 
Dah wakisema wilaya ya Kyela nayo ni ya Malawi ina maana Mwakyembe na akina mimi ni raia wa Malawi,mambo mengine ni kutuletea shida tu wakati tulizonazo baado tunatabika nazo
 
tuko LOUSY sana katika kulinda mipaka yetu mpaka watu wanachokoza chokoza (JWTZ wamekuwa wachovu kwenye hili suala)........ukingalia hata mpaka wetu na Uganda nao unaivamiwa wavamiwa na wakazi kutoka Uganda...........na hata kuna sehemu nyingine wanapoteza/vunja zile permanent markers.........taarifa zinatolewa.........sisi tumelala tu........damn!
 
mainmap.gif
The East African nation of Tanzania was formed out of the union of the much larger mainland territory of Tanganyika and the coastal archipelago of Zanzibar. The former was a colony and part of German East Africa from the 1880s to 1919, when, under the League of Nations, it became a British mandate until independence in 1961. It served as a military outpost during World War II, providing financial help, munitions, and soldiers. Zanzibar was settled as a trading hub, subsequently controlled by the Portuguese, the Sultanate of Oman, and then as a British protectorate by the end of the nineteenth century. Julius Nyerere ruled the country for decades and repressed all opposition. Years of socialism led to corruption on a massive scale and a collapse of the economy. Following Nyerere's retirement in 1985, various political and economic reforms began.
Ebu tazameni maji yoote tulokuwa nayo haya na hata hesabu ya mito na maziwa..Halafu unaambiwa hatuna maji safi.. Bora hata hiyo Lake Nyasa wachukue Malawi we don't deserve to be guardians..
 
Tizama Mipaka vizuri Mkuu Lake lote lipo upande wa Malawi na Msumbiji Tanzania haiana Ziwa so Vita vya nini? je Ushawahi Tizama Ramani ya Zinjibar miaka ya Nyuma?

Kwa argument yako ya kuangalia hiyo ramani, una maana hata lake Tanganyika halipo Tanzania?
 
Hivi hatuwezi kuwapa discipline hawa jamaa?What is Malawi by the way?
 
Kwa argument yako ya kuangalia hiyo ramani, una maana hata lake Tanganyika halipo Tanzania?
Hizi ramani zimechakachuliwa. Nilipokuwa primary school wakati wa enzi za ukoloni, ramani ya kwanza ya Tanganyika tuliyotumia darasani ilionyesha mpaka wa Tanganyika ukipita katikati ya Ziwa Nyasa.
 
Back
Top Bottom