cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Wakati wanazalisha sisi tulikuwa wapiMajirani kama Ethiopia na Uganda Wana umeme mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wanazalisha sisi tulikuwa wapiMajirani kama Ethiopia na Uganda Wana umeme mwingi.
Kujenga bwawa la umemeWakati wanazalisha sisi tulikuwa wapi
Mkuu ni KUNUNUA au KUUZA??Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.
Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.
Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.
An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.
The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
KununuaMkuu ni KUNUNUA au KUUZA??
Eeh mambo yamegeuka fasta?si walisema sisi tutawauzia umeme nje?Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.
Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.
Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.
An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.
The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
Ndio utajua Tanzania ni comedian,maana nchi imezungukwa na maziwa makuu,mito,maporomoko kila Kona ila umeme utanunuliwa toka Kushi.
Hamtaki Tena Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere!!! Ambao ni sawa na ule unaozalishwa Ethiopia?Hii ni habari njema. Hongera Naibu Waziri Mkuu cum waziri mpya wa nishati. Harakisha kuleta huo umeme toka Ethiopia na kumaliza hili janga la kitaifa la mgao mkali wa umeme lililolikumba taifa letu.
Umeme huo wa Ethiopia ni wa bei nafuu sana, 6.5 usd cents per unit ukilinganisha na huu wa Songas wanaotuuzia 15.5 usd per unit. Tuachane na huo umeme Songas unaozalishwa hapo Kinyerezi unless nao wateremshe bei hadi 6.0 usd cents wakati tunasubiri umeme wetu wa bwawa la Nyerere utakaokuwa wa bei ya 3.0 usd cents per unit. Huo umeme wa Songas uuzwe nje hususani Zambia. Akina Makamba na Maharage walikuwa wamepanga kuuuza ule umeme wa bwawa la Nyerere Zambia na sisi kubaki na huu wa Songas wa bei kubwa.
Tumekuwa tuna export to Kenya mahindi na mchele wetu halafu tuna import mahindi na mchele toka Zambia na kwingineko kwa matumizi yetu ya ndani. Hii ni Bashe philosophy. Kwa philosophy hiyo hiyo tutakuwa tuna import umeme toka Ethiopia na tuna export umeme kwenda Zambia na kwingineko.
Nchi gani inatengeneza umeme kwa kutumia maziwa?Ndio utajua Tanzania ni comedian,maana nchi imezungukwa na maziwa makuu,mito,maporomoko kila Kona ila umeme utanunuliwa toka Kushi.
Umbea na ushabiki kwenye vitu hata visivyo tuhusu.Hivi sisi kama nchi tunaweza kwenye nini hasa!
Me naona tatizo sio CCM, tatizo ni malezi tuliyo pitia utotoni.Hakuna adui tulienae mkubwa ndani ya nchi hii zaidi ya CCM. Bora tungemuacha mzungu aendelee kutawala kuliko hawa panya road.
Kwahiyo kama tumeshindwa kumpata wa kumuuzia ndio sisi tukanunue kwa wakushi?Umuuzie nani Kila mtu ana umeme?
Ndio,wewe unataka umeme au hutaki?Kwahiyo kama tumeshindwa kumpata wa kumuuzia ndio sisi tukanunue kwa wakushi?
Bado haujaongea, ila utaongea tu.Dah!! Qqmke walah, nchi ya kisenge hii.
Kunywa hata chimpumu, ila ndio ishatoka hiyo.Ngoja Kwanza,,Nile stiki mbili drai za jani Korofi then nisindikizie na pilau maini nafikiri ndio nitarudi tena kusoma hii,,,Daaah Tunasikitisha!!
Hao CCM munawaonea tu.1. Tuliambiwa Bwawa la mwalimu Nyerere likikamilika, Bei ya umeme itashuka na tutauza mwingine nje ili kuongeza pato la Taifa.
2. Bwawa lilipokamilika tukaambiwa Bei ya umeme haitashuka kwa sababu nyongeza ya umeme itauzwa nje ya nchi.
3. Ghafla tunamuona Mtoto wa boss na rais Museveni, tukaambiwa wanajadili namna ya kujenga kituo shirikishi Cha umeme ili watu wa Kagera wapate umeme Bei nafuu.
4. Leo tena tunaambiwa tutanunua umeme wa Ethiopia ili kukidhi mahitaji ya ndani.
CCM [emoji1617]
Kuna nini kwani??Kunywa hata chimpumu, ila ndio ishatoka hiyo.
Acha kutuchanganya wewe. Wachangiaji wanahoji kwann tununue umeme Ethiopia wakati serikali imekuwa ikijigamba kwamba itauza umeme nchi za nje?Hata hivyo Kuna kitu inaitwa East Africa electricity pool kwamba Nchi zote zinaunganisha grid zao Ili mwenye upungufu apate Kwa mwenye ziada
Wa kuuza haupoAcha kutuchanganya wewe. Wachangiaji wanahoji kwann tununue umeme Ethiopia wakati serikali imekuwa ikijigamba kwamba itauza umeme nchi za nje?
Bwawa la Nyerere lilipoanza kujenga tambo zilikuwa kama zote. Imekuwaje sasa?